SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 180,000 Kwa Mwaka Mzima.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
SmartDuka Pro, Mfumo wa kijanja kwa usalama wa biashara yako.
IMG_20210919_230115_818.jpg
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka / Biashara yako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Tuna amini wafanyabiashara mbalimbali wanakumbana na changamoto za kuhifadhi kumbukumbu za mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika.

SmartDuka Pro inawezesha mfanyabiashara kuhifadhi taarifa hizo na nyingine nyingi kwa urahisi zaidi.
Ufafanuzi-na-mwenendo-wa-biashara-yako!.jpg
 

SmartDuka Pro unakuza na kuleta faida.​

Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
SmartDuka Pro, Mfumo wa kijanja kwa usalama wa biashara yako.
 
POS au mfumo wa uuzaji ni mfumo kamili wa usimamizi wa pesa kwenye soko la leo. Inafanya kila hatua iwe vizuri zaidi kwa muuzaji wakati wa kusindika mauzo. Ni nini hufanya POS mfumo bora kukusaidia kudhibiti pesa yako ikilinganishwa na rejista ya pesa? Mapitio ya kina ya faida za mfumo wa POS imeorodheshwa hapa chini.
 
SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu
 
SALES / EXPENSES

Mfumo utakusaidia kufanya mauzo kwa kutumia barcode scanner na pia kutoa risiti.
 

Ongoza biashara yako popote ulipo duniani.​

Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakaguamazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea dukani kwako, bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire) etc.

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Stock

Mfumo unafuatilia inventory/ stoku kwenye sehemu zako zote za biashara.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom