SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.
Tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa SmartDuka Pro kwa sasa Unapatikana katika Mfumo wa Web base System, Desktop Application (Computer) pamoja na Android App. Endesha Biashara yako kisasa zaidi.
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.
Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakaguamazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea dukani kwako, bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire) etc.
Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.