Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
- #221
Pata mfumo wa kijanja utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mkuu nikufafanulie vizuri mkuu.. ilikuzibiti wizi wa namna hiyo huo nakushauri kufunga CCTV Camera, Pia kuweka mfumo wa Kurecord, Mauzo na Kusimamia Stoku yako, Kama huu mfumo wetu wa SmartDuka Pro.Itakuwaje mie namuuzia mtu duka ama mtu nimemuajiri. Ninaweza nikauza bidhaa fulani labda katoni 20 za maji baadaye nikaenda nikayachukua kwa jumla Mana mfano hayo maji wanatembeza yanapatikana ama maduka yoyote.kumbuka sio maji tu Ila Ni mfano. Sasa boss nikauza hayo maji katoni 20 baadaye nikakimbia nikayachukua kwa Bei ya jumla nikayarudisha dukani Ile faida ya katoni 20 nikaiweka mfukoni ama mfanyakazi akaiweka dukani.
Hapo iyo software itasaidiaje nikiwa mbali mkuu.
Sijui Kama umenielewa lakini.
Yaani simu mfano infinix laki 4 Sasa humo Kuna faida ya 30-50k. Fasta nikakimbia duka la jumla nikaichukua nikairudisha pale pale ilipokuwepo Mana bos yupo mbali iyo faida ya 50k nikaiweka mfukoni.
Ama hata mteja anaweza akaja nikamwambia ngoja nikuletee kwa duka letu hapa kwetu imeisha ama hii Ina hitilafu kidogo ngoja nikuletee Mali nzuri.
Si unajua zile za store ama mzigo upo store Ila hata sample hawaweki dukani.