SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Pata mfumo wa kijanja utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
 
Mfumo wa SmartDuka Pro unakuwezesha kurekodi bidhaa zako zote pamoja na stoku zake, Pia mauzo yako yote huku ukiona ni bidhaa zipi zinakaribia kuisha na zipi zimeisha.

Ukiwa na mfumo wa SmartDuka Pro hakuna siku bidhaa zako zitaisha bila wewe kujua au kupata taarifa bidhaa ipi mzigo (stoku) inakaribia kuisha.
 
Unayo nafasi sasa ya kuendesha biashara yako, huduma au uzalishaji wako kwa njia ya kisasa zaidi kwa kutumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Itakuwaje mie namuuzia mtu duka ama mtu nimemuajiri. Ninaweza nikauza bidhaa fulani labda katoni 20 za maji baadaye nikaenda nikayachukua kwa jumla Mana mfano hayo maji wanatembeza yanapatikana ama maduka yoyote.kumbuka sio maji tu Ila Ni mfano. Sasa boss nikauza hayo maji katoni 20 baadaye nikakimbia nikayachukua kwa Bei ya jumla nikayarudisha dukani Ile faida ya katoni 20 nikaiweka mfukoni ama mfanyakazi akaiweka dukani.

Hapo iyo software itasaidiaje nikiwa mbali mkuu.

Sijui Kama umenielewa lakini.

Yaani simu mfano infinix laki 4 Sasa humo Kuna faida ya 30-50k. Fasta nikakimbia duka la jumla nikaichukua nikairudisha pale pale ilipokuwepo Mana bos yupo mbali iyo faida ya 50k nikaiweka mfukoni.
Ama hata mteja anaweza akaja nikamwambia ngoja nikuletee kwa duka letu hapa kwetu imeisha ama hii Ina hitilafu kidogo ngoja nikuletee Mali nzuri.
Si unajua zile za store ama mzigo upo store Ila hata sample hawaweki dukani.
 
Labda mkuu nikufafanulie vizuri mkuu.. ilikuzibiti wizi wa namna hiyo huo nakushauri kufunga CCTV Camera, Pia kuweka mfumo wa Kurecord, Mauzo na Kusimamia Stoku yako, Kama huu mfumo wetu wa SmartDuka Pro.

Pia unaweza kuunganisha na Internet kwenye hilo eneo ambayo itatumika kwenye mfumo wa mauzo pamoja na kwenye CCTV Camera. Hii itakusaidia kusimamia biashara yako hata uwapo mbali na eneo la biashara na kuthibiti wizi wa hovyo kwa kiwango cha asilimia 100%.
 
Tumia mfumo wa SmartDuka Pro
kusimamia biashara ya uwakala wa fedha kwa kupata taarifa sahihi za miamala ya kuweka na kutoa pia kusimamia float (salio) kwa usahihi na usalama zaidi.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
Uza, bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Usikubali kuendesha biashara yako kwa stress! Chagua SmartDuka Pro ujionee utofauti. Kujua zaidi kuhusu huduma zetu na ofa zetu zilizopo, Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246
 
"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Mfumo wa SmartDuka Pro, unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
SmartDuka Pro Dedicated Features.

[emoji736]Unlimited Multiple businesses/ Shop
[emoji736]Unlimited Multiple Locations or Warehouses
[emoji736]Advanced Products Management
[emoji736]Customer, Supplier & Payment alerts
[emoji736]Brand, Category, Sub Category, Units
[emoji736]Tax & Tax groups (VAT ready)
[emoji736]Customize & Print invoice, product lebels
[emoji736]Reports
[emoji736]Simplified interface
[emoji736]Many Customization options
[emoji736]Free Data Migration at your own server
[emoji736]Full branded software for your business
[emoji736]Full access your database and files
[emoji736]1 Year Free Support.

CALL/ SMS/ WhatsApp: 0711414246 | 0621454246
SmartDuka%20Pro%20Full%20License%203.jpg
 
SmartDuka Pro, kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
Back
Top Bottom