SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Nina maswali..
Mpo Dar, mteja yupo Mkoani
1. Gharama ya kumfata mteja ni ya nani?
2. Kwasasa gharama zenu za mfumo zikoje @ bei?

#YNWA
Samahani kwa kuchelewa kureply njia nzuri na ya haraka ni kutupigia simu au WhatsApp.

Unaweza kutumia mawasiliano yako kwa mazungumzo ya Gharama za kumfuata mteja mkoani sababu inategemea na mkoa uliopo.

Gharama za mfumo wetu wa Shared zinaanzia 180,000/= paka 540,000/= unaweza kutugoogle, SmartDuka Pro utaona website yetu kisha ingia sehemu imeandikwa Pricing utaingia utaona kunavifurushi vya aina tatu pamoja na features zake kwa kila kifurushi/ package.
 
Fuatilia stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta. Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 au 0621454246
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.

Tumia mfumo wa SmartDuka Pro
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Anza mwaka 2025 kwa kishindo ukiwa na usimamizi bora wa biashara yako kwa kutumia mfumo bora wa SmartDuka Pro.

Jiunge leo upate ofa ya punguzo la hadi 30% leo.

Tembelea www.smartdukapro.com kujiunga na mfumo wetu, kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi
 
Back
Top Bottom