Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
- #261
Samahani kwa kuchelewa kureply njia nzuri na ya haraka ni kutupigia simu au WhatsApp.Nina maswali..
Mpo Dar, mteja yupo Mkoani
1. Gharama ya kumfata mteja ni ya nani?
2. Kwasasa gharama zenu za mfumo zikoje @ bei?
#YNWA
Unaweza kutumia mawasiliano yako kwa mazungumzo ya Gharama za kumfuata mteja mkoani sababu inategemea na mkoa uliopo.
Gharama za mfumo wetu wa Shared zinaanzia 180,000/= paka 540,000/= unaweza kutugoogle, SmartDuka Pro utaona website yetu kisha ingia sehemu imeandikwa Pricing utaingia utaona kunavifurushi vya aina tatu pamoja na features zake kwa kila kifurushi/ package.