Smartphone gani unaitamani na kuikubali sana?

Smartphone gani unaitamani na kuikubali sana?

utakuwa unaenjoy movie. haikupi shida kubeba?
size-2.png
Ayayayayaaaaa hiyo mega 6.3 itakuwa bei gani kibongobongo mkuu?
Nimeikubali.
 
niliipenda iphone and then nikaipenda huawei but now naitamani LENOVO
 
Ati ipo vizuri ama 32 gb ndo best?

Zote zina ubora sawa katika performance. Tofauti ni Storage tu. Yaani uhifadhi wa data, photos, videos, apps na kadhalika. Lakini kama mtu hutaki storage kubwa kwa sababu matumizi huna ya kukufanya ujaze 16GB hakuna ulazima wa kuchukua 32. Kama unataka storage kubwa chukua 32GB Lakini performance zote zipo sawa.
 
Back
Top Bottom