sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Powa bei ulichukua ngap hiyo?Ni 16 GB.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powa bei ulichukua ngap hiyo?Ni 16 GB.
Mimi simu yoyote iwe na jina SAMSUNG bas!! hapo tu nimeridhika na kujifeel confortable
Powa bei ulichukua ngap hiyo?
Ati ipo vizuri ama 32 gb ndo best?Nilichukua nje, sifahamu bei ipo kiasi gani na huku.
Nadhani inaweza kufikia 800,000. Ila sina uhakika.
Haya ndiyo maoni yangu...simu kubwa halafu Samsung.Mi simu zenye screen kubwa kubwa ndo ugonjwa wangu. . .
Haijalishi ni 'kampuni' gani
Mimi simu yoyote iwe na jina SAMSUNG bas!! hapo tu nimeridhika na kujifeel confortable
Ayayayayaaaaa hiyo mega 6.3 itakuwa bei gani kibongobongo mkuu?utakuwa unaenjoy movie. haikupi shida kubeba?
![]()
we unahitaji laptop🙂🙂Mi simu zenye screen kubwa kubwa ndo ugonjwa wangu. . .
Haijalishi ni 'kampuni' gani
Ati ipo vizuri ama 32 gb ndo best?
Nnayo used nauza 230000/- haina mchubuko hata chembe na ina miezi 3 tangu ninunueniliipenda iphone and then nikaipenda huawei but now naitamani LENOVO
Mkuu unaijua PHILLIPS?inabidi iwwe kampuni inayoeleweka vinginevyo utakuwa kama unatumia phillips.
![]()