Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua


inatosha kaka 4gb kwa hizo app ila media eka kwenye memory card
 
Kaka nimepata bonge la elmu ubarkiwe sana .hiv sim gan LG inayochezea laki 1.5 mpaka 3 ambayo stajuta sana kuimilk
 

Mzee umepangua hivyo vilonga longa si mchezo, mpaka tongo tongo na makapi yote yametoka.!
Aiseh hyo blackberry nmeipenda nadhani nikipata masurufu nitajitahdi kuitafuta.!
Vp Mzee una duka la simu ninii.? Au unajuana na wauzaji vilonga longa? Uko deep ktk maelezo.!
 
chief-habari
nilikuwa nakumbushia kutujuza zile dizain za kuflash cm bila kutumia computer .
tujuze ndugu zako nina kuomba mkuu.
 
chief-habari
nilikuwa nakumbushia kutujuza zile dizain za kuflash cm bila kutumia computer .
tujuze ndugu zako nina kuomba mkuu.

kama simu yako inawezekana kuroot bila kutumia pc basi kuflash sio kazi maana 100% unaweza fanya kwa simu.

google namna ya kuroot simu yako then ukisharoot install rom manager halafu tumia hio kueka cwm au twrp halafu utadownload rom ya simu ikiwa katika mfumo wa zip utaeka kwenye folder unalolikumbuka then utaboot kwenye recovery halafu utachagua install zip from sd card then utachagua ile rom, simu itajiflash.

kama unachange rom za watu tofauti mfano unachange ya samsung kwenda cyanogen itabidi uwipe data na cache kwanza
 
chief-mkwawa@ ungetuwekea angalau wastani wa bei zake, na maeneo ambayo tunaweza zipata original za ukweli hizi simu -ili tusiumizwe vibaya. Usituchoke mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Vp kuhusu huawei Y530 uwezo wake ukilinganisha na hizo motto e na unaweza ku update kwenda kitkat?
 

na mimi nimepata somo chief-mkwawa
sasa lkn chief-mkwawa kama n sim za mediatek chip si ndo zitacorupt kabisa au msaada plz
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa@ ungetuwekea angalau wastani wa bei zake, na maeneo ambayo tunaweza zipata original za ukweli hizi simu -ili tusiumizwe vibaya. Usituchoke mkuu.

simu zote ni chini ya laki 3 kaka na bei halisi ni around laki 2. Sipati muda wa kuzunguka madukani ila zipo
 
Last edited by a moderator:
Vp kuhusu huawei Y530 uwezo wake ukilinganisha na hizo motto e na unaweza ku update kwenda kitkat?

kaka nimeicheki, kusema ukweli nilikua siifahamu. Ukitoa ram yake ya 512mb ni simu nzuri inastahili kuwa hapa. Nikipata muda nita update thread na kuiweka. Kuhusu kwenda kitkat hii simu ina chip sawa na moto e ambayo ina kitkat hivyo naweza sema unaweza update. Ila still ni huawei ndo watatakiwa watengeneze rom ya kitkat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…