Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
This means huwezi kufanya update mpaka wao watengeneze rom
inatosha kaka 4gb kwa hizo app ila media eka kwenye memory card
Na nexus smartphone sasa hivi ni bei gani kwa hapa bongo
Kwa marekani ni kama bei gani?
Ukitaka kujua specification za simu yoyote fungua hii website GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more...
Hapa bongo zipo?nexus zinauzwa rahisi marekani tu sehemu nyengine bei inakuwa kubwa ila sijui kwa tz wanauza sh ngap
Chief mkwawa hivi NOKIA XL wanazouza airtel inafaa ku upgrade os? Pia yaweza ingia kwenye list yako ktk huu uzi? Msaada tafadhali.
mkuu mimi ugonjwa wangu ni games tu.sasa ni simu gani itanifaa kwa kucheza hizi hd games. (sijali ikiwa
window au android)
Nashukuru sana Chief Mkwawa. Umekua msaada sana hapa jukwaani. Umenitoa kwenye giza kuhusu simu. Nasubiri kwa hamu kubwa sana hii x2. Umeniokoa kudumbukia kwenye TECNO.:llama:
Kaka nisaidie kujua tatizo nini wakati fulani nikipiga picha sim inajirestart ghafla..this is my second phone i am experiencing the same problem
tafuta simu yenye 1gb ram kama moto e na nokia x2,
kwa windows phone lumia 525 ni nzur na hata gpu yake ni kubwa adreno 305 compare na adreno 302 ya moto e na x2
Chief mkwawa hivi NOKIA XL wanazouza airtel inafaa ku upgrade os? Pia yaweza ingia kwenye list yako ktk huu uzi? Msaada tafadhali.
mkuu nataka game nzuri, natumia tab 2 10.1 unaweza ukanisaidia game nzuri ambazo unazijua ukaniorodheshea hapa nizidownload toka play store? asante