Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

This means huwezi kufanya update mpaka wao watengeneze rom

simu zote kaka huwezi update hadi manufacture atoe updates ni simu za nexus tu ndio google akitoa os zinapata updates hapo hapo. hio chip imekua maarufu sana sasa hv simu kibao inaitumia even hii nokia x2 inatumia chip hio hio hivyo hata support nategemea iwe kubwa
 
Chief mkwawa hivi NOKIA XL wanazouza airtel inafaa ku upgrade os? Pia yaweza ingia kwenye list yako ktk huu uzi? Msaada tafadhali.
 
kaka nimeziandika hapo juu processor yake ni ndogo labda uwe huna matumizi mengi. Kuhusu ku update inapata updates lakini ile ni forked android utapata updates za kawaida ila hutamove kwenda version 2 ya nokia x platform.

nokia x2 imezinduliwa juzi juzi ni rahisi kuliko xl pia ina specs nzuri. Narecomend x2 over xl ikiingia mtaani nita update thread
 
mkuu mimi ugonjwa wangu ni games tu.sasa ni simu gani itanifaa kwa kucheza hizi hd games. (sijali ikiwa
window au android)
 
Nashukuru sana Chief Mkwawa. Umekua msaada sana hapa jukwaani. Umenitoa kwenye giza kuhusu simu. Nasubiri kwa hamu kubwa sana hii x2. Umeniokoa kudumbukia kwenye TECNO.:llama:
 
Kaka nisaidie kujua tatizo nini wakati fulani nikipiga picha sim inajirestart ghafla..this is my second phone i am experiencing the same problem
 
tafuta simu yenye 1gb ram kama moto e na nokia x2,
kwa windows phone lumia 525 ni nzur na hata gpu yake ni kubwa adreno 305 compare na adreno 302 ya moto e na x2
 
Kwa kweli. Tecno ulikua unaenda kupotea kama sio kuangamia kabisa.
 
Kaka nisaidie kujua tatizo nini wakati fulani nikipiga picha sim inajirestart ghafla..this is my second phone i am experiencing the same problem

kaka hili tatizo linasababishwa na mambo mengi ni vyema kama una warranty uirudishe
 
tafuta simu yenye 1gb ram kama moto e na nokia x2,
kwa windows phone lumia 525 ni nzur na hata gpu yake ni kubwa adreno 305 compare na adreno 302 ya moto e na x2

mkuu nataka game nzuri, natumia tab 2 10.1 unaweza ukanisaidia game nzuri ambazo unazijua ukaniorodheshea hapa nizidownload toka play store? asante
 
Chief mkwawa hivi NOKIA XL wanazouza airtel inafaa ku upgrade os? Pia yaweza ingia kwenye list yako ktk huu uzi? Msaada tafadhali.

nokia xl airtel wanauza sh ngap?
 
mkuu nataka game nzuri, natumia tab 2 10.1 unaweza ukanisaidia game nzuri ambazo unazijua ukaniorodheshea hapa nizidownload toka play store? asante

bila kutaja aina ya game unazopenda itakua ngumu kurecomend
 
Back
Top Bottom