bila kutaja aina ya game unazopenda itakua ngumu kurecomend
ya magari na mission games mkuu, ndo nnazopenda, zipi nzuri nzidownload?
kama simu yako inawezekana kuroot bila kutumia pc basi kuflash sio kazi maana 100% unaweza fanya kwa simu.
google namna ya kuroot simu yako then ukisharoot install rom manager halafu tumia hio kueka cwm au twrp halafu utadownload rom ya simu ikiwa katika mfumo wa zip utaeka kwenye folder unalolikumbuka then utaboot kwenye recovery halafu utachagua install zip from sd card then utachagua ile rom, simu itajiflash.
kama unachange rom za watu tofauti mfano unachange ya samsung kwenda cyanogen itabidi uwipe data na cache kwanza
kwenye magari anza na asphalt 8, real racing na gt racing. Mission kuna frontline comando nafkiri yapo matatu nilicheza kidogo d day frontline comando.
Chiefmkwawa vp kuhusu lg l920??
specs zake imepitwa na wakati ila ni baadhi ya simu unique ambazo zilikua zina aim ziwe zinaonyesha 3d sio mbaya ukikaa nayo
ati @chief-mkwawa ukroot kama n simu za mediatek si ndo ztacorupt kabisa au
Chief mkwawa natumia huawei Y511-T00 haiko rooted tatizo ni kwamba inabaadhi ya apps zipo kwa kichina na halafu haina preinstalled apps kama vile google+,google drive,google play store na hazikubali kuinstall lakini pia google play service na google maps zinaniandikia unfortunetely has stooped msaada plziiiiiikaka kuroot hakuharibu simu maana ni kugain tu access ya mafolder tofauti na sdcard ila ukitumia app za root unaweza haribu simu.
mfano ukadownload root uni installer then ukafuta system files simu inaweza isifanye kaz hadi ueke tena rom
Mkuu Chief Mkwawa vp hii simu Samsung Galaxy Duos 2 GT..S 7562 Ina baadhi ya vitu ambavyo siku za nyuma uliwahi kuvitaja kama Snapdragon,Cortex 5 na Adreno 200 ukasema inakuwa na uwezo wa kukuonyesha HD
Hii simu ina internal 4GB halafu ina uwezo hadi 32 naomba ushauri ikiwa ni nzuri
kwa standard za sasa hio simu itakusumbua kaka. Then duos 2 ina cortex a9 na sio cortex a5. Kama stil unataka samsung better tafuta duos 2
Mkuu si kuna uzi maalum wa Tecno, hili tangazo lako ungepeleka huko.!!am using TECNO H3 ni latest version it is very cheap..ina capacity kubwa na za kisasa ina processor yakutosha kabisa inbuilt memory ni 2GB ina flush ina support video camera that means ina front camera ni android oparated na ina update za kutosha kabisa.ina fungua kila file mpaka converter mf PDF...Ina screen kubwa plus 3G,HSPA na EDGE....Kwauku kanda ya ziwa it costs less than 150000...prior to this ihad been using Sumsung lakini nimegundua TECNO ina mambo mengi zaidi na bei za chini kiasi soko la sumsung, blackberry, apple kwisha habari yake kwani mchina kaondoa monopoly ya wakorea na wamarekani
hawa Motorola wana simu nzuri kwa gharama nafu lakini upatkanaji wake ndio shida
kwa standard za sasa hio simu itakusumbua kaka. Then duos 2 ina cortex a9 na sio cortex a5. Kama stil unataka samsung better tafuta duos 2