Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

mkwawa, huwa wanapiga biti kuwa uk-unlock utaharibu simu. je kuna ukweli?

nani anaweza kufanya unlocking? hawa mafundi wetu wanaweza wa uswazi?

ku unlock hakuharibu simu ila kama mtu hajui anachofanya anaweza kukuharibia simu. pia inategemea na aina ya simu kuna ambazo ni rahisi ku unlock, kuna ambazo ni ngumu na nyengine haziwezekani. hivyo kama ni rahisi hata wa uswazi wanaweza
 
Chief niaje ebhana nataka ninunue Nokia Lumia 620 bei yake ni laki tatu na Arobaoni kwa sasa natumia Tecno M3 vipi kaka hii simu ipo vizuri Nokia lumia 620 au naomba mwongozo wako kwa hili!!

lumia 620 ni nzuri kama kioo kidogo hakikusumbui. specs wise ni bora kuliko simu nyingi za bei hio. ila kabla hujaamua kuinunua ni bora utafute mtu mwenye windows phone kwanza uangalie operating system yake kama utaipenda. ukiipenda nakushauri inunue hio
 
kaka sina uhakika kama zipo au hazipo ila imeshasambaa nchi nyingi i hope itakuwa imefika
kaka chief off topic kidogo samahani mimi natumia simu ya Samsung galaxy S3 mini nauliza kama naweza kui root hii simu. in easy way maake njia nyingine naona zinamlolongo mrefu na mi sio mzoefu nahofia naweza kuzika simu yangu. kama it is possible nisaidie au kama unamjua mtaalamu wa haya mambo nielekeze nitamlipa
 
cortex ni jina la series ya processor za arm. unapoongelea proceesor ndio mfanyakazi wa simu kila kitu kuanzia ukiangalia video, ukifungua application, ukipiga picha na hata ukiingia internet ni processor inayofanikisha hivyo vitu. sababu hii cortex ni series ina maana zipo nyingi kuna kuanzia

cortex A5
cortex A7
cortex A8
cortex A9
cortex A12
cortex A15
cortex A17

hizo ndio cortex maarufu.

pia hizi series za processor za cortex ni open source mtu yoyote anaweza kuzitumia

Apo nimekuelewa shukurani
 
kaka chief off topic kidogo samahani mimi natumia simu ya Samsung galaxy S3 mini nauliza kama naweza kui root hii simu. in easy way maake njia nyingine naona zinamlolongo mrefu na mi sio mzoefu nahofia naweza kuzika simu yangu. kama it is possible nisaidie au kama unamjua mtaalamu wa haya mambo nielekeze nitamlipa

easy way tumia kingo android root. japo si rahisi sana ila atleast hutahangaika sana. just google kingo android root
 
Mkuu Chief Mkwawa

Ugonjwa wangu katika simu ni Ukubwa....
Nilianza 2008 kwa Nokia N70, nikahama 2011 kwa iPhone 3G, na sasa natapatapa toka mwaka jana na Tecno P5....

Nataka nitafute soon Tablet na budget ni laki 3, nisaidie unipe mchanganuo ninunue aina gani... itayonipa raha na kuzizika stress kwa muda!!!!
 
ku unlock hakuharibu simu ila kama mtu hajui anachofanya anaweza kukuharibia simu. pia inategemea na aina ya simu kuna ambazo ni rahisi ku unlock, kuna ambazo ni ngumu na nyengine haziwezekani. hivyo kama ni rahisi hata wa uswazi wanaweza

Yes yes your right
Kuna unlocking na flashing
Unlock humaanisha ni kuzifungua simu ambazo network imekua locked kwa mtandao mmoja mfano simu inatumia tu vodacom au airtel unaunlock ili utumie line za mitandao unayotaka. Unlock inaweza fanywa hata bila fundi kuwepo unachotaakiwa ni kupata unlock codes ambazo fundi atakutumia. Kuflash ni kitendo cha kutoa au kurest operating system ya simu hii fundi lazima awepo kwani inahitaji physical access ya simu na hii ndio inayoua simu au kuvoid warrant.
 
Mkuu Chief Mkwawa

Ugonjwa wangu katika simu ni Ukubwa....
Nilianza 2008 kwa Nokia N70, nikahama 2011 kwa iPhone 3G, na sasa natapatapa toka mwaka jana na Tecno P5....

Nataka nitafute soon Tablet na budget ni laki 3, nisaidie unipe mchanganuo ninunue aina gani... itayonipa raha na kuzizika stress kwa muda!!!!

kaka kuna tablet nyingi sana sasa hivi sokoni zenye specs za maana kwa hio laki 3 hadi 4. ila sijui kama zinapatikana kirahisi huku kwetu. unaweza zicheki madukani

1. galaxy tab 3.7.0 lite
usije kuichanganya na ambayo sio lite hii imepunguzwa specs kidogo haina kioo cha hd, unaweza kupiga simu ina ram 1.5gb, snapdragon 400, na android version unaweza update hadi kitkat
398865-samsung-galaxy-tab-3-7-0.jpg

2.asus fonepad 7

hizo mbili hapo juu ndio maarufu na zinaeleweka na hata hapa tz unaweza zipata nyengine kwa furaha ya macho hizi hapa

3.Acer Iconia Tab 7 (A1-713HD)
4.hp slate 7 voice tab
5.dell venue 7
 
easy way tumia kingo android root. japo si rahisi sana ila atleast hutahangaika sana. just google kingo android root
kaka ahsante kwa msaada wako nimefanya kama ulinielekeza na kwa bahati nilipata na na ka video youtube kalikuwa kana elekeza ku root s2. nilipokwama ni kwenye website hapa http://www.kingoapp.com/android-root/devices.htm hamna root file.exe ya samsung galaxy s3 GT-I8190. nika google nikapata moja inaonyesha ina support simu nyingi ina ukubwa wa 22Mb. sasa nika install nikachomeka device nikaiweka kwenye debbuging mode ikaisoma kama samsung device ila haiku display model yake tofauti na nilivyoona kwenye ile tutorial video ya youtube nikaingiwa hofu. nisije nikaua simu 45ke zangu sitaki kufanya makosa naomba unisaidie mkuu na samahani kwa usumbufu wangu
 
kaka ahsante kwa msaada wako nimefanya kama ulinielekeza na kwa bahati nilipata na na ka video youtube kalikuwa kana elekeza ku root s2. nilipokwama ni kwenye website hapa All Android devices supported by Kingo Android Root hamna root file.exe ya samsung galaxy s3 GT-I8190. nika google nikapata moja inaonyesha ina support simu nyingi ina ukubwa wa 22Mb. sasa nika install nikachomeka device nikaiweka kwenye debbuging mode ikaisoma kama samsung device ila haiku display model yake tofauti na nilivyoona kwenye ile tutorial video ya youtube nikaingiwa hofu. nisije nikaua simu 45ke zangu sitaki kufanya makosa naomba unisaidie mkuu na samahani kwa usumbufu wangu

bora ulivyokuja mapema, hutakiwi kudownload kitu ukitumia app ya hao kingo just chomeka itadetect simu watadownload wenyewe. halafu ni impossible file moja kuroot simu nyingi.

kama ni s3 inatakiwa idetect i9300.

test tena eka debug on then fata maelekezo usidownload kitu zaidi just connect simu na pc itamaliza kila kitu. ikikataa huenda sio s3 international version
 
wajameni nauza kasimu kangu tecno phantomA+...sh laki 3 mali bado ni mpya kabisa mwenye kuitaji ani pm
 
Sorry chief-mkwawa hivi kuna uwezekano wa ku unlock Huawei Ascend Y530?
Je unaweza nisaidia namna ya ku unlock. Much respect chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom