Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,660
- 2,932
asante,lakini inakubali kupiga simu za video bila kutumia Skype au app yoyote ile?
Hiyo kitu sijajaribu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante,lakini inakubali kupiga simu za video bila kutumia Skype au app yoyote ile?
asante,lakini inakubali kupiga simu za video bila kutumia Skype au app yoyote ile?
mkuu nimejaribu Ku-update inaniambia nitumie wi-fi licha ya kusoma H+(zaidi ya 3g),Maana nimejiunga na Bando la unlimited
yap wifi lazima, kama una kasimu kengine jiekee hotspot then update.
Safi mtoa mada ila simu yotote yenye RAM 512 lazima isumbue tu kwa hiyo nashauri watu wawe makin hapo na make sure ina ram zaidi ya 512
i wish niandike mada kuhusu ram, kinachotakiwa ni simu ina free ram ngapi na sio simu ina ram kiasi gani. nimetumia simu hizi angalia ram ilivyo.
galaxy s3.
-ram around 800mb
-kiasi kinachotumiwa na simu around 600mb
-free ram mtumiaji 200mb
amini usiamini s3 ina free ram around 200mb tu. lakini si tunaipamba ina ram 1gb? hivyo kuna uwezekano simu ya 512mb ram ambayo ipo optimized vizuri kuipita s3.
galaxy s4
-ram around 1.8gb
-inayotumika na simu 1.2gb
-free around 600mb
ila kwa s4 uki update kwenda kitkat unapata free ram 900 hadi 1gb
htc one
-ram 1.8gb
-inayotumika na simu 500mb
-free 1.3gb
hivyo ukiangalia hapo juu utaona htc ana free ram kubwa sababu software yake (sense) ni nyepesi sana na simu zake hazina bloatware wengi. ila samsung touchwiz ni nzito na pia simu inakuwa na bloatware wengi.
lumia 520 na wp zote zenye 512mb ram pamoja na iphone 4 zipo smooth kabisa sababu software zake ni nyepesi na hazina mabloat ya kukomba ram.
wenye huawei y530 ina free ram ngap?

hapo ukijaza tu apps itakua slow hio simuFree ram 63
Mkuu ktk hii y530
Ndugu chief naweza kuona free ram!?natumia blackberry 9780 ndugu
option then device then storage then application storage.
ila kwa bb hizo sio sana kukwama ram
na kwenye Lumia 620 je? au mpaka Ni update kwenda wp8.1,maana nimepekua ili nione free ram nimeshindwa
bei yake ni kama hizi tu 150,000 hadi 300,000 sema haina hadhi nayo ya kuwa hapa sababu
1.processor yake ni single core za hapo juu zote ni dualcore
2.kioo cha 3.5 chenye resolution ndogo
tecno zinatumia chip ya mediatek na chip ya simu inajumuisha vitu kama hivi.
-processor
-gpu(kwa ajili ya games na app kubwa)
-fm radio
-network radio mambo ya 3g na 2g
hivyo tunaweza kusema chip zinazoekwa kwenye simu ndio kila kitu sababu mambo yote muhimu yapo kwenye hio chip, chip ikiwa mbaya na simu pia itakua mbaya. mediatek ina matatizo mengi kama.
1.inacorupt imei number na ikicorupt basi huwez piga simu wala kupokea wala kufanya karibia shughuli zote za kisimu hadi uifix.
2. huwezi kuiupdate simu ya mediatek kama inakuja na android 4.1 ili iende 4.2 inabidi ununue simu nyengine
3. simu zote za mediatek zinatumia cortex a7 ila wanatoka processor ya cortexa15 soon. hii processor ya a7 haina nguvu sana.
4. sometime vitu kama gps wifi au bluetooth pia huzingua
ina matatizo mengi meadiatek na pia simu zake ni bei rahisi sana.
incase ndio huna budi inabidi ununue simu ya mediatek zipo simu kali za around dola 130 kama xiaomi hongmi aka red rice na huawei honor 3c unaweza ukazigoogle uone zilivyokua na specs kubwa kwa bei ndogo
hizi ni simu za kale update kwenda wp8 anza na hio lumia 520
Hata huawei wana simu nzuri sana na kwa bei nzuri,tatizo ni hilo hilo kama la lg,upatikanaji wake mgum sana
kwani kuna ubaya gani kama processor ni singlecore?
mkuu mi naomba darasa kuhusu aina za chip, na ipi ni nzuri zaidi? C mbaya ukanambia mbaya pia kwa mfano mediatek, cortex
inapohusu kuupdate ni chip gani inahusika?