Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Safi mtoa mada ila simu yotote yenye RAM 512 lazima isumbue tu kwa hiyo nashauri watu wawe makin hapo na make sure ina ram zaidi ya 512
 
Safi mtoa mada ila simu yotote yenye RAM 512 lazima isumbue tu kwa hiyo nashauri watu wawe makin hapo na make sure ina ram zaidi ya 512

i wish niandike mada kuhusu ram, kinachotakiwa ni simu ina free ram ngapi na sio simu ina ram kiasi gani. nimetumia simu hizi angalia ram ilivyo.

galaxy s3.
-ram around 800mb
-kiasi kinachotumiwa na simu around 600mb
-free ram mtumiaji 200mb

amini usiamini s3 ina free ram around 200mb tu. lakini si tunaipamba ina ram 1gb? hivyo kuna uwezekano simu ya 512mb ram ambayo ipo optimized vizuri kuipita s3.

galaxy s4
-ram around 1.8gb
-inayotumika na simu 1.2gb
-free around 600mb

ila kwa s4 uki update kwenda kitkat unapata free ram 900 hadi 1gb

htc one
-ram 1.8gb
-inayotumika na simu 500mb
-free 1.3gb

hivyo ukiangalia hapo juu utaona htc ana free ram kubwa sababu software yake (sense) ni nyepesi sana na simu zake hazina bloatware wengi. ila samsung touchwiz ni nzito na pia simu inakuwa na bloatware wengi.

lumia 520 na wp zote zenye 512mb ram pamoja na iphone 4 zipo smooth kabisa sababu software zake ni nyepesi na hazina mabloat ya kukomba ram.

wenye huawei y530 ina free ram ngap?
 
Ndugu chief naweza kuona free ram!?natumia blackberry 9780 ndugu
 
Free ram 63
Mkuu ktk hii y530
 
na kwenye Lumia 620 je? au mpaka Ni update kwenda wp8.1,maana nimepekua ili nione free ram nimeshindwa

kwenye wp8 haiwezekan na hata wp8.1 sijaona uwezo huo bado.

ila wp zote zinarun fast kwenye 512mb ram
 
bei yake ni kama hizi tu 150,000 hadi 300,000 sema haina hadhi nayo ya kuwa hapa sababu
1.processor yake ni single core za hapo juu zote ni dualcore
2.kioo cha 3.5 chenye resolution ndogo

kwani kuna ubaya gani kama processor ni singlecore?
 
tecno zinatumia chip ya mediatek na chip ya simu inajumuisha vitu kama hivi.
-processor
-gpu(kwa ajili ya games na app kubwa)
-fm radio
-network radio mambo ya 3g na 2g

hivyo tunaweza kusema chip zinazoekwa kwenye simu ndio kila kitu sababu mambo yote muhimu yapo kwenye hio chip, chip ikiwa mbaya na simu pia itakua mbaya. mediatek ina matatizo mengi kama.
1.inacorupt imei number na ikicorupt basi huwez piga simu wala kupokea wala kufanya karibia shughuli zote za kisimu hadi uifix.
2. huwezi kuiupdate simu ya mediatek kama inakuja na android 4.1 ili iende 4.2 inabidi ununue simu nyengine
3. simu zote za mediatek zinatumia cortex a7 ila wanatoka processor ya cortexa15 soon. hii processor ya a7 haina nguvu sana.
4. sometime vitu kama gps wifi au bluetooth pia huzingua

ina matatizo mengi meadiatek na pia simu zake ni bei rahisi sana.

incase ndio huna budi inabidi ununue simu ya mediatek zipo simu kali za around dola 130 kama xiaomi hongmi aka red rice na huawei honor 3c unaweza ukazigoogle uone zilivyokua na specs kubwa kwa bei ndogo

mkuu mi naomba darasa kuhusu aina za chip, na ipi ni nzuri zaidi? C mbaya ukanambia mbaya pia kwa mfano mediatek, cortex
 
kwani kuna ubaya gani kama processor ni singlecore?

mambo mawili yanafanya single core iwe outdated
1. multitasking
2. app ambazo zipo optimized kutumia core zaidi ya moja.

kwa os kama android ambayo ni nzito unapokuwa unarun application nyingi na core moja tena isio na nguvu utakuwa unaipa shida na simu itakuwa slow.

pia app nyingi sasa hv wanazi optimise kutumia core zaidi ya moja ina maana ukiwa na app hio na wewe una single core perfomance yako itakua ndogo tuki compare na yule mwenye dual core.

though octacore nayo inakua haina maana sababu app haziwezi tumia core zote 8
 
mkuu mi naomba darasa kuhusu aina za chip, na ipi ni nzuri zaidi? C mbaya ukanambia mbaya pia kwa mfano mediatek, cortex

nimeona mediatek wana chip sasa hivi zina gpu za mali ambazo ndio hizo hizo zinatumika kwenye exynos ya samsung sio move mbaya pia chip hizo unaweza kuziupdate.

ngoja tueke sawa kwenye cortex hapo chip zote za simu zina cortex haijalishi iwe mediatek au qualcom au exynos

chip bora kwa sasa ni hii exynos 5 mpya iliotoka na galaxy alpha ni bora sababu inatumia technology mpya ya 20nm badala ya kawaida 32nm.

chip nyengine bora ni hii snapdragon 805 itakayotoka hivi karibuni.

nyengine ni hizi

1. snapdragon 200- simu za chini ya laki 3
2. snapdragon 400- simu za laki 3 hadi laki 6
3. snapdragon 600- simu za around laki 7
4. snapdragon 800/801- simu za highend zinazofika hadi milion

pia kuna exynos 5 zipo nyingi ila zote ni nzuri.

chip za kuziogopa ni mediatek zote na chip za tegra. japo nvidia ndio wanatengeneza tegra ila huwa haziaminiki maana hazisuport driver za ku update kama vile mediatek tu
 
inapohusu kuupdate ni chip gani inahusika?

chip za qualcom na exynos huwa mara nyingi zinapata updates nyengine hadi 4 au 5. mfano

s4 ilitoka na android 4.2, ikapata android 4.3 ikapata 4.4.2 then 4.4.4 na itapata android l

lumia 520 imepata update ya amber, then black now inapata cyan na soon itapata debian red.

hivyo simu moja huna haja ya kuibadilisha we unabadili version tu na muonekano na function za simu zinabadilika kama umenunua mpya.
 
Back
Top Bottom