kim jung shik
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 129
- 23
jamani mimi htc wildfire yangu imekufa system of charge nifanyaj kuuza kwa mafundi na j niiuze shngap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ninayo galaxy mega gt i9205
6.3 inc nipe laki 390 tuuu
Mkuu chief-mkwawa hii Nokia N9 inapatikana kwa sh ngapi kwa sasa maana nimeipenda kama zipo madukani naomba unielekeze au Nokia 701
kaka sifahamu kama kuna maduka yanauza hizo simu labda utafute za mkononi. na hata ukiyapata ujue bei itakuwa kubwa
chief mkwawa nina htc desire 400 ilikuwa na tatizo la maandishi kwenye screen yanatikisika nimepeleka kwa fundi amenambia display yake imekufa, sasa naweza kupata display yake na ikafanya kazi vizuri kam mwanzo? na naweza kuibdlishia wap mi nipo kibaha
Asante,halafu naomba unielekeze namna ya kupiga simu ya video kwenye Lumia 620 maana hata setup ya video call siioni PIA hakuna option ya video call au ndo haisurport NB:Hii ndo Mara yangu ya kwanza kutumia windows phone ILA nimeipenda maana Ni nyepesi tofauti na android ambayo ilikuwa nzito
CHIEF MKWAWA naomba unipe info muhimu kuhusu TECNO P5 yaani uzuri wake na hasara yake. Pia nataka kujua kama TECNO P5 zipo tofauti tofauti au vipi? maana kuna moja nimeona uki-play video online inasumbua sana(inachukua muda mrefu) ila nyingine ina-play haraka na bila usumbufu.
hilo ni tatizo la network na sio simu hakikisha simu yako umeeka 3g juu iwe inaonesha alama ya 3g/h/h+
Sorry hivi hiyo h+ ina maanisha nini?
Habari zenu. OFF TOPIC: Samahanini, kuna uzi nautafuta humu. Mwenye kuujua naomba anipe link. Ni kuhusu smartphones, kuna mtaalam alikuwa amependekeza smartphones nzuri na affordable, alielezea mazuri na mabaya ya hizo smartphones. Kama niko sahihi nafikiri alikuwa chief-mkwawa, nataka nizipitie, mwezi ujao naweza enda tafuta mojawapo. Bado niko ulimwengu wa Blackberry 8520, hivyo si mtaalam wa simu, ningependa nizipitie moja baada ya nyingine katika ule uzi niweze kujua ipi itanifaa. Asanteni.
uzi ndo huu ila mod ameuunganisha vibaya nenda page ya 2 utaikuta main thread
simu zenyewe ni hizi.
1.moto e
2.nokia x2
3.lumia 525
4.blackberry z3
5.asus zenfon
6.xiaomi redmi 1s
hizo simu 6 hapo juu ndio low end kali na zote zina ram 1gb kupanda tatizo supply yake ni ndogo hivyo inabidi uzitafute sana.
1.lumia 520
2.huawei y530
hizi pia ni nzuri na ni rahisi kuzipata ila zina 512mb ram sema bei pia rahisi. around 200,000 kushuka chini
hilo ni tatizo la network na sio simu hakikisha simu yako umeeka 3g juu iwe inaonesha alama ya 3g/h/h+
Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.