Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua


Kaka PDF mm natumia huawei G700 ni simu nzuri sana aisee hutajutia
 
Last edited by a moderator:
umesomeka babu... nataraji kuipata toka kwa wachina wenyewe the coming week kwa 1977YEN
 
Mm nilipata dubai kwa $280, huawei wanakuja kas sana ,iangalie tu hata P7 waliyoizindua mwez huu au P6
 
Mi nna Lumia 710, yaani ni choo cha kike, nifanyeje ili niweze kudownload na kutumia huduma za pesa pesa?
Wana JF jaribuni kuipata TECNO PHANTOM A PLUS, hapa wameweza kwa kweli

inauzwa bei gani?
 

Mm nimeitumia hii sim kama mwaka hiv,ila tatizo lake kubwa ni kukwama sana sio user friend kabisa
 
Safi sana,nlitaka kubadilisha simu nimeshapata pakuanzia.
 
RAFIKI AKO NA TECHNO PHANTON A+ inamsumbua kwenye kasi ya internet nadhani nikwavile ina uplink na downlinks ndogo.. less than 6Mpbs... kwa maelezo zaidi pitia hapo chini...


General Information
2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 2100
4G NetworkNo
SIMDual mini SIM
StatusAvailable July 2013
Body
Dimensions143.5×70.8×9.1mm
KeyboardTouchscreen
ColorsWhite, Black, Yellow
CoverPlastic
Display
TypeTFT capacitive touchscreen with 16,000,000 colors
Size720 x 1280-pixels, 5 inches, 293 pixels per inch (PPI)
Memory And OS
Card slotMicroSD, up to 32 GB
Internal4 GB
OSAndroid 4.2 Jelly Bean
Processors1.2 GHz dual-core Mediatek MT6577H CPU
RAM1 GB
Audio
Alert typesVibration, MP3 ringtones
LoudspeakerYes
Audio port3.5mm jack
Connectivity
2GGPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps
3GUp to 7.2 mbps downlink; Up to 5.76 mbps uplink
4GNo
WIFIWi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, WIFI direct, dual-band
BluetoothVersion 3.0
GPSA-GPS
NFCNo
USBMicroUSB v2.0
Camera
Primary8 MP, up to 3264×2448 pixel pictures, Geo-tagging, auto focus, face detection camera with LED flash
VideoYes
Secondary1.2 MP up to 1280×960 pixel pictures
Battery
Capacity2100 mAh Li-Ion battery
Stand-byUp to 400 hours
Talk timeUp to 12 hours
Music playN/a
Other Features
SensorsAccelerometer, Compass, Ambient light sensor
MessagingSMS, MMS, Email, Push Mail, IM
BrowserHTML5
JavaNo
- SNS integration
- MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player
- Document viewer
- FM radio
- Image viewer
- Voice memo/dial/command
- Predictive text input
- Google Search, Whatsapp, Google-Maps, Gmail,
YouTube, Calendar, Google Talk
 
simu nyingi za lenovo ni kama tecno hazina maana na hio a316 ndo haina ishu kabisa. Ina android 2.3 na ram ya 256mb. Ascend y300 ni nzur zaidi.

Aisee sio ushamba jamani napenda kujua, nitawezaje kufanya shortcut ya screenshot bila kwenda kwenye notification bar? Msaada maana natumia y300.
 
simu nyingi za lenovo ni kama tecno hazina maana na hio a316 ndo haina ishu kabisa. Ina android 2.3 na ram ya 256mb. Ascend y300 ni nzur zaidi.

Aisee sio ushamba napenda kufahamu,njia ya shortcut kufanya screenahot bila kwenda kwenye notification bar.mimi natumia huawei y300
 
VP chief -mkwawa , simu za huawei kama HUAWEI ASCEND G700,zina official update?
 
natumia TECNO P5 ina speed nzuri
ila msaada kwa atakayeniuzia SIEMENS C 25
 
ndio yenyewe ila HUAWEI P7 nayo ni ssshhhiiiiiddaaaaaaa
 
Aisee sio ushamba napenda kufahamu,njia ya shortcut kufanya screenahot bila kwenda kwenye notification bar.mimi natumia huawei y300

kwa kawaida simu zote za android ukitoa zinazotumia touchwiz screenshot hupatikana kwa kubonyeza power button na volume down kwa pamoja. (Button ya kuzimia na kuwasha simu+button ya kupunguza sauti)
 
Kama una uwezo wa kuagizia simu china hakuna simu bora kuishinda zte redbull sababu ni hizi.
1. Inatumia processor ya snapdragon 400 quadcore cortex a7 inakuja na adreno 305 na choice ya either 1gb au 2gb ram
2. Camera 13mp na front cam 5mp ikiwa na kioo cha 5inch hd.
3.internal memory kuna choice ya 4gb na 8gb

bei ni dola 130 kwa version yenye internal 4gb na ram 1gb. Na dola 160 kwa yenye internal 8gb na ram 2gb. Inapatikana china tu
 
Blackberry z3
 

Attachments

  • 1401044112022.jpg
    54 KB · Views: 257
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…