Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Mkuu mimi nina swali kuhusu galaxy mega 6.3 ina maana hii simu kioo chake hakina protection mfano gorilla glass kama zilivo s3 n.k ? pia nauliza ina maana jelly bean yake ndo imeishia hapo hapo kwenye 4.2.2 ?? Tatu na mwisho os vesrsion inapozidi kuwa updated ina faida gani,mfano 4.2.2 ina tofauti gani na 4.4.2 ??

kaka ujue unaposema gorilla glass ni bidhaa tu kama bidhaa nyengine sio lazima simu iwe nayo ili kioo kiwe imara. hii gorilla inatengenezwa na kampuni then ndio wanauziwa kina samsung na nokia na htc na wengineo. kuna vioo vyengine kama saphire na dragontrail pia vinaweza kutumika badala ya gorilla. samsung wenyewe hawajasema ni aina gani ya protection wametumia ila kwa kujudge na bei ya hio simu bas lazma itakua na protection hata kama sio gorilla ila ipo.

kuhusu kupata version nyengine ya android kwa simu yako ni kwamba itapata android kitkat 4.4.2 ila ni kwa baadae sasa hv bado.

na faida ya ku update ni kwamba utaenjoy vitu vipya kwenye simu yako hivi ni baadhi ya vitu utakavyovipata ukieka kitkat
-simu itakua nyepesi sababu kitkat wameioptimize kurun kwenye ram 512mb
-samsung wataeka mazagazaga yao kama knox code, support kwa galaxy gear, milk music na mengineyo
-utapata muonekano mpya wa touchwiz

hayo machache ila mengi pia utapata, ila sometime updates zinaweza kuwa na bugs pia hivyo kabla huja update sikiliza review za wenzako ambao wamesha update kwanza
 
naomba mnieleze kuhusu galaxy trend
 
chief-mkwawa vipi kuhusu Sony Experio C laini mbili? nataka kuinunua,

mkuu sio mbaya ila huyu naye ni muhanga wa mediatek. ila kama kwa bei unayopata unaweza kununua sony xperia sp au moto g ni bora ununue hizo ni nzuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Chief Mkwawa na wataalam wengineo,naomba msaada wenu ipi bora kati ya Xperia M na Motorola Moto G?

moto g ni bora kuliko xperia m kwa ujumla. utachagua xperia m pale tu unapotaka storage kubwa zaidi ya 16gb au kama unataka battery inayotoka. pia bei nafikiri moto g ni ghali kidogo
 
chief-mkwawa ningependa kujua hizi simu za huawei,
Ukinunua na ukitoa betri zinakuwa na series.
Mfano: huawei Y300-100 au huawei Y300-151,je zinautofauti wowote?half inakuwa made in China.

Ahsante.
tofauti zake ni band za network hio ya 151 ni quadband ina frequency karibia za dunia nzima ila yenye 100 inazo chache. ila kwa tanzania hazina tofauti sababu zote zina frequency ya 2100
 
Last edited by a moderator:
CHIEF MKWAWA

Salute kwako mkuu. Swali,kwa hiyo hiyo simu zote za lumia zenye window 8 hadi 8.1 hazina shida na mambo ya tgopesa,mpesa au airtel money? Maana kuna hii taarifa kua wp zinazoishia na 20 mfano lumia 520,620 ndio zinakubali tu zingine zinagoma. Kwa hiyo hiyo hiyo 8 na 8.1 zimemaliza hilo tatizo?

Napenda sim za wp sema hilo tatizo linaniogopesha Chief. Nipe uhakika nihamie window phone.

yah wp kuanzia 8 hazina tatizo na mpesa wala tigo pesa na wp8.1 pia ina vitu basic kama file manager, notification centre, kueka apps kwenye memory card na row 3 za tiles.
 
Last edited by a moderator:
Chif, kwahiyo hii Lumia610 huwezi ukai update kwenda WP8?!. Na vipi kuhusu ku unlock huduma za code ka mpesa

kaka huwezi ku update kwenda wp8 sababu ina single core na ram 256mb tu. hizo huduma huwez tumia hadi kuwe na app kama ile ya tigo pesa ya android
 
Kuna hii huawei P6 nimeona kama ina specs nzuri na gharama ndogo kulinganisha na wengine wa aina hiyo. Nini kinaifanya iwe na bei nafuu ni processor au kuna kingine
 
Kuna hii huawei P6 nimeona kama ina specs nzuri na gharama ndogo kulinganisha na wengine wa aina hiyo. Nini kinaifanya iwe na bei nafuu ni processor au kuna kingine

Huawei K3V2 ndio chip gani? pengine unaweza kuta ni mediatek wameibrand tu. mimi naamini chip za exynos na snapdragon tu sababu najua hazizingui ila nvidia na tegra zao, mediatek na hizi chip za vichochoroni si recomend mtu aingie kichwa kichwa
 
tofauti zake ni band za network hio ya 151 ni quadband ina frequency karibia za dunia nzima ila yenye 100 inazo chache. ila kwa tanzania hazina tofauti sababu zote zina frequency ya 2100

Asante kwa jibu lako, je hii huawei Y300 unaweza ku-upgrade hii os yake au ndo inabaki hii iliyokuja nayo?
 
Mkuuu Lumia 630 Dual Sim tayarii ishafika bongoo???? wapi patikana bhanaa??
 
Back
Top Bottom