PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
hizi ni simu za kale update kwenda wp8 anza na hio lumia 520
Chif, kwahiyo hii Lumia610 huwezi ukai update kwenda WP8?!. Na vipi kuhusu ku unlock huduma za code ka mpesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi ni simu za kale update kwenda wp8 anza na hio lumia 520
Mkuu mimi nina swali kuhusu galaxy mega 6.3 ina maana hii simu kioo chake hakina protection mfano gorilla glass kama zilivo s3 n.k ? pia nauliza ina maana jelly bean yake ndo imeishia hapo hapo kwenye 4.2.2 ?? Tatu na mwisho os vesrsion inapozidi kuwa updated ina faida gani,mfano 4.2.2 ina tofauti gani na 4.4.2 ??
kaka ujue unaposema gorilla glass ni bidhaa tu kama bidhaa nyengine sio lazima simu iwe nayo ili kioo kiwe imara. hii gorilla inatengenezwa na kampuni then ndio wanauziwa kina samsung na nokia na htc na wengineo. kuna vioo vyengine kama saphire na dragontrail pia vinaweza kutumika badala ya gorilla. samsung wenyewe hawajasema ni aina gani ya protection wametumia ila kwa kujudge na bei ya hio simu bas lazma itakua na protection hata kama sio gorilla ila ipo.
kuhusu kupata version nyengine ya android kwa simu yako ni kwamba itapata android kitkat 4.4.2 ila ni kwa baadae sasa hv bado.
na faida ya ku update ni kwamba utaenjoy vitu vipya kwenye simu yako hivi ni baadhi ya vitu utakavyovipata ukieka kitkat
-simu itakua nyepesi sababu kitkat wameioptimize kurun kwenye ram 512mb
-samsung wataeka mazagazaga yao kama knox code, support kwa galaxy gear, milk music na mengineyo
-utapata muonekano mpya wa touchwiz
hayo machache ila mengi pia utapata, ila sometime updates zinaweza kuwa na bugs pia hivyo kabla huja update sikiliza review za wenzako ambao wamesha update kwanza
chief-mkwawa vipi kuhusu Sony Experio C laini mbili? nataka kuinunua,
je TECNO M3
Chief Mkwawa na wataalam wengineo,naomba msaada wenu ipi bora kati ya Xperia M na Motorola Moto G?
tofauti zake ni band za network hio ya 151 ni quadband ina frequency karibia za dunia nzima ila yenye 100 inazo chache. ila kwa tanzania hazina tofauti sababu zote zina frequency ya 2100chief-mkwawa ningependa kujua hizi simu za huawei,
Ukinunua na ukitoa betri zinakuwa na series.
Mfano: huawei Y300-100 au huawei Y300-151,je zinautofauti wowote?half inakuwa made in China.
Ahsante.
swali rahisi namna hiyo ndo mpaka uquote thread nzima? unatutaabisha tunaotumia simu.
CHIEF MKWAWA
Salute kwako mkuu. Swali,kwa hiyo hiyo simu zote za lumia zenye window 8 hadi 8.1 hazina shida na mambo ya tgopesa,mpesa au airtel money? Maana kuna hii taarifa kua wp zinazoishia na 20 mfano lumia 520,620 ndio zinakubali tu zingine zinagoma. Kwa hiyo hiyo hiyo 8 na 8.1 zimemaliza hilo tatizo?
Napenda sim za wp sema hilo tatizo linaniogopesha Chief. Nipe uhakika nihamie window phone.
Chif, kwahiyo hii Lumia610 huwezi ukai update kwenda WP8?!. Na vipi kuhusu ku unlock huduma za code ka mpesa
naomba mnieleze kuhusu galaxy trend
Kuna hii huawei P6 nimeona kama ina specs nzuri na gharama ndogo kulinganisha na wengine wa aina hiyo. Nini kinaifanya iwe na bei nafuu ni processor au kuna kingine
Duu hii lumia 520 inasumbua tu..
Kuna hii huawei P6 nimeona kama ina specs nzuri na gharama ndogo kulinganisha na wengine wa aina hiyo. Nini kinaifanya iwe na bei nafuu ni processor au kuna kingine
tofauti zake ni band za network hio ya 151 ni quadband ina frequency karibia za dunia nzima ila yenye 100 inazo chache. ila kwa tanzania hazina tofauti sababu zote zina frequency ya 2100