secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Anakuwa kama anakufokea😃😃Mimi sipendi mtu aniandikie sms kwa herufi kubwa tyu nachukia sana
Wazee hupenda kufanya hivyo kwa sababu macho yao hayana nuru.Mimi sipendi mtu aniandikie sms kwa herufi kubwa tyu nachukia sana
Acha ty huwa sijibuAnakuwa kama anakufokea😃😃
Ukituma naweza nisikujibu kuza font size ila usiniandikie herufi kubwaWazee hupenda kufanya hivyo kwa sababu macho yao hayana nuru.
"tuu"Mimi sipendi mtu aniandikie sms kwa herufi kubwa tyu nachukia sana
Wanaondika SMS kwa herufi kubwa hawana tofauti na wale wanaojifanya wana sauti nzito kuwatishia watu.Anakuwa kama anakufokea😃😃
Akikunfikia hivi pia unachukia 'NINA HAMU YA KUBANDULIWA LEO'Anakuwa kama anakufokea😃😃
Mi sipendi mwanaume mwenzangu aniambie mambow!Kuna wale wakutuma "mamb" kisha nambie au lete story na ni watu wazima kabisa
Anataka nini unahisi?Mi sipendi mwanaume mwenzangu aniambie mambow!
Ni mimi pekee naona code kwenye hii thread au ngwai zishanichukua?Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk. Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana (tutaonana).
Binafsi nilishamfukuza mke wangu wa ndoa baada ya kunifowadia SMS iliyoishia kwa kusema "tuma ujumbe huu kwa watu kumi (10), usipofanya hivyo hutaona uso wa bwana".
Wewe hupendi ujumbe wa namba gani? Sema.
IlengeshePiga
Ongeza bia nyingineNi mimi pekee naona code kwenye hii thread au ngwai zishanichukua?
Hao hawachelewi kuombwa mtandao pendwa na huo wanatoaNaomba ela kesho nikasuke........ afu ana mume huyo na amekupa namba saa chache zilizopita..🚮