Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Bwabwa hiloMi sipendi mwanaume mwenzangu aniambie mambow!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwabwa hiloMi sipendi mwanaume mwenzangu aniambie mambow!
Ninajua.Kweny kybord ujui u na y zipo karibu?
Sawa ila si ushakubali kuwa zipo karibu jibu ushalipata au kuna ziada?Ninajua.
Unapoandika kabla ya kuirusha habari unatakiwa kuhariri ili kurekebisha makosa.
Utetezi wako haukuondolei makosa ama haukupi kinga ya kutiwa hatiani.
[emoji23] sipendi kuandikiwa meseji inayomiss irabu au herufi, pia X eti xaxa xi utkja au mtu kudelay kujibu meseji wakati kaiona na anaweza kuijibuKuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.
Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana (tutaonana).
Binafsi nilishamfukuza mke wangu wa ndoa baada ya kunifowadia SMS iliyoishia kwa kusema "tuma ujumbe huu kwa watu kumi (10), usipofanya hivyo hutaona uso wa bwana".
Wewe hupendi ujumbe wa namna gani? Sema.
Mtu yeye ndio kaanza kukutext, halaf anakwambia "Niambie"Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.
Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana (tutaonana).
Binafsi nilishamfukuza mke wangu wa ndoa baada ya kunifowadia SMS iliyoishia kwa kusema "tuma ujumbe huu kwa watu kumi (10), usipofanya hivyo hutaona uso wa bwana".
Wewe hupendi ujumbe wa namna gani? Sema.
Hiyo ni mbaya sanaMtu yeye ndio kaanza kukutext, halaf anakwambia "Niambie"
Jibu ni moja tu nikuambie nini?Mtu yeye ndio kaanza kukutext, halaf anakwambia "Niambie"
Yani kama tulikuwa tunachati, Naishi hapo hapo 🤣Hiyo ni mbaya sana
Ningelikuwa mwalimu sasa ningekasirika na kutembeza mboko!Kweny kybord ujui u na y zipo karibu?
Hahahah 😂 😁Ningelikuwa mwalimu sasa ningekasirika na kutembeza mboko!
Tazama hii nukuu toka kwenye comment yako na namna ulivyofanya makosa ya uandishi ya makusudi!
'Kweny* k*ybo*rd *ujui'...
Hizo stars zote nimeziweka maeneo ambayo umeacha makusudi kujaza herufi.
Makosa kama haya ya uandishi, nadhani ndiyo watu wengi hufanya ambayo sasa tupo hapa kulaani ili wajirekebishe.
Sasa kwa nini katika kulaani, tunalaani mambo ambayo ndiyo tunayoyafanya wenyewe?
Tunaondoa kibanzi kwenye jicho la mwingine huku macho yetu yamezibwa na boriti!
Kwa nini?Sipendi mtu atumie herufi kubwa sipendi kabisa😆
UsinihojiKwa nini?
Hilo neno 'najali' liliwakilisha ujumbe gani hapo mkuu?Bosi wangu alishawahi kunitumia SMS inayosema "secretarybird naomba unikopeshe kalaki kamoja tu"
Mimi nikamjibu Kwa kumwambia " najali"
Tembea na mdundo kuandika maneno yote hiyo wanafanya wazee wa uko sw mkuuNingelikuwa mwalimu sasa ningekasirika na kutembeza mboko!
Tazama hii nukuu toka kwenye comment yako na namna ulivyofanya makosa ya uandishi ya makusudi!
'Kweny* k*ybo*rd *ujui'...
Hizo stars zote nimeziweka maeneo ambayo umeacha makusudi kujaza herufi.
Makosa kama haya ya uandishi, nadhani ndiyo watu wengi hufanya ambayo sasa tupo hapa kulaani ili wajirekebishe.
Sasa kwa nini katika kulaani, tunalaani mambo ambayo ndiyo tunayoyafanya wenyewe?
Tunaondoa kibanzi kwenye jicho la mwingine huku macho yetu yamezibwa na boriti!
Kwamba hela yangu hata kama ni ndogo 'kalaki' lakini naijali/naipenda.Hilo neno 'najali' liliwakilisha ujumbe gani hapo mkuu?