Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Madharau siyo.
Kabisa...
Ukishakuwa mtu wa kuandika hivyo, siku nyingine utasubiri text zangu kama kuandama kwa mwezi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madharau siyo.
Siyo nakeleka ni nakereka, aina hiyo ya uandishi ni aina ya uandishi unaonikera piaKabisa huwa nakeleka sana ase
Na umeshachoshwa na mfungo mwa mwezi mtukufu.Kabisa...
Ukishakuwa mtu wa kuandika hivyo, siku nyingine utasubiri text zangu kama kuandama kwa mwezi...
Duh! Kwa kweli bakita itufikieSiyo nakeleka ni nakereka, aina hiyo ya uandishi ni aina ya uandishi unaonikera pia
Mwingine anaandika 'p'Kuna mwngne umemtumia sms mambo yeye anajibu pw aiseee mm nakuwa siendelei tena kuchat
AhahahaSiyo nakeleka ni nakereka, aina hiyo ya uandishi ni aina ya uandishi unaonikera pia
Ahsante sana kwa hiyo namba
Kuna mmoja juzi kana na mapya, eti ananiandikia " VP qaqa" akimaanisha 'vipi kaka'.Vifupisho vya kivivu mfano mamb, vp, gd (mambo,vipi, good)
Kubadili herufi mfano xx, xhule, xim (sisi, shule, simu)
Herufi kubwa tupu bila sababu
Alama za uandishi pahala siyo pake mfano ndiyo...!!!!, Wapi???
Kuongeza herufi za mwisho mfano badooo, sokoniii, kakaa
Maneno fulani fulani mfano best, kipenzi, nk
Mtu kuandika kwa lafudhi anayoongea mfano taadhali, apana, nk
Kinachokera kuliko ni mambo yote hayo yakifanywa na dume zima
HahahahYeye: Oi inakuaje kijana?
Mimi: Safi tu, inakuaje kijana?
Yeye: Fresh
Ukimya wa dakika 10
Yeye: Niambie kijana mishe zinaendaje
Huu ujinga siwezi jibu hata iweje, toa salamu mambo yaishe. Maongezi mengine kama ni ya muhimu piga simu. Unataka nianze kuelezea jinsi mambo-issues zangu zinavyoendelea kwenye meseji for what?
Unapomrekebisha mwenzako, jihakikishe wewe mwenyewe hauna mawaa yoyote.Acha ty huwa sijibu
Dada yangu alikuwa na tabia hiyo nikamwambia nakuwa mzito kumjibu mtu akiamdika kwa herufi kubwa akaacha now anatumia herufi mdogo
Kweny kybord ujui u na y zipo karibu?Unapomrekebisha mwenzako, jihakikishe wewe mwenyewe hauna mawaa yoyote.
Hili neno 'Acha ty' lina maana gani mdau?