SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

Chief Reptile tafadhali naomba ujibu PM, nakutumia ujumbe hujibu, nmekutumia email pia hujibu.
 
Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.

Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana (tutaonana).

Binafsi nilishamfukuza mke wangu wa ndoa baada ya kunifowadia SMS iliyoishia kwa kusema "tuma ujumbe huu kwa watu kumi (10), usipofanya hivyo hutaona uso wa bwana".

Wewe hupendi ujumbe wa namna gani? Sema.
hata mimi nakerwa sana na mtu anaetumia x , sipendi kuitumia ikionekan kimakosa bas ni typing error tu ila stipend kabisa
 
""bby ntachelewa kurudi kuna mechi ya EPL""

JIBU LANGU

"Usijali. Funguo ntaiweka chini ya mlango. Chakula kipo kabatini"
 
Back
Top Bottom