SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

Ninajua.
Unapoandika kabla ya kuirusha habari unatakiwa kuhariri ili kurekebisha makosa.
Utetezi wako haukuondolei makosa ama haukupi kinga ya kutiwa hatiani.
Sawa ila si ushakubali kuwa zipo karibu jibu ushalipata au kuna ziada?
 
[emoji23] sipendi kuandikiwa meseji inayomiss irabu au herufi, pia X eti xaxa xi utkja au mtu kudelay kujibu meseji wakati kaiona na anaweza kuijibu
 
Mtu yeye ndio kaanza kukutext, halaf anakwambia "Niambie"
 
Kweny kybord ujui u na y zipo karibu?
Ningelikuwa mwalimu sasa ningekasirika na kutembeza mboko!

Tazama hii nukuu toka kwenye comment yako na namna ulivyofanya makosa ya uandishi ya makusudi!

'Kweny* k*ybo*rd *ujui'...

Hizo stars zote nimeziweka maeneo ambayo umeacha makusudi kujaza herufi.

Makosa kama haya ya uandishi, nadhani ndiyo watu wengi hufanya ambayo sasa tupo hapa kulaani ili wajirekebishe.

Sasa kwa nini katika kulaani, tunalaani mambo ambayo ndiyo tunayoyafanya wenyewe?

Tunaondoa kibanzi kwenye jicho la mwingine huku macho yetu yamezibwa na boriti!
 
Bosi wangu alishawahi kunitumia SMS inayosema "secretarybird naomba unikopeshe kalaki kamoja tu"
Mimi nikamjibu Kwa kumwambia " najali"
 
Hahahah 😂 😁
 
Tembea na mdundo kuandika maneno yote hiyo wanafanya wazee wa uko sw mkuu
 
Mmb xafi?
Kakah,
mkuuh,
pamojah,
axante,
2ko poah
Naskia kichefuchefu na kutapika hasa zikitoka kwa mtu aliyepita shule kidogo bora kwa ambaye hajasoma unaweza ukamwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…