SMS kwa Kusaga na Clouds FM

SMS kwa Kusaga na Clouds FM

mtukuyu

Senior Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
129
Reaction score
62
With all due respect,Mr.Kusaga the don..Timu yako ni wabunifu sawa hilo sipingi ila tuwe wastarabu kidogo.Ile bibi bomba naona kama ni udhalilishaji tu wa watu muhimu na tunaowaheshimu sana katika jamii zetu africa,kuwachezesha kiuduku,sijui azonto,mara ngololo,hipop,bongo fleva si ustaarabu japo ni haki yako kubuni...zile ni shida tu zinawasumbua wale mabibi ungewasaidia tu bila kuwafanya chanzo cha fedha nadhani ungebarikiwa zaidi...sidhani kama sisi bibi zetu tunawezawafanya vile runingani.‪
 
chezea fursa wewe. clauds media wapo ki fursa zaidi lolote linafanyika tu.
 
nilishaachaga kuangalia baadhi ya channel siku nyingi
 
Kudadeki,wakithubu2 kumwapproach bb yangu ntatoa m2 ngeo!,hivi watoto na wajukuu wa hao mabibi hawaon km wanadhalilishwa pia?
 
Kudadeki,wakithubu2 kumwapproach bb yangu ntatoa m2 ngeo!,hivi watoto na wajukuu wa hao mabibi hawaon km wanadhalilishwa pia?
Ni njaa mkuu unafikiri wao wanapenda atii..me nilishaliona hilo muda mrefu sema nilikosa platform ya kupresent thanx mtukuyu.
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa fursa wakitoka hapo watakuja kwa watoto wetu wa shule.
 
Ujinga mtupu......siku nilikuwa sehem nikaona sijui wale wabibi wanarembwa......

Nilishangaa sana hizi FURSA hizi
 
Nashukuru bibi yangu ameamua kupumzika hata Tv hataki kuangalia siku hizi yupo busy kuuliza nani atamletea wajukuu wakifunga shule awalee!
 
Kudadeki,wakithubu2 kumwapproach bb yangu ntatoa m2 ngeo!,hivi watoto na wajukuu wa hao mabibi hawaon km wanadhalilishwa pia?

Ngoja waje watakujibu wanamendea vimilioni tano atakavyovuna bibi wampigekabali maana. Naonawameshindwa kutunza bibi zao mpaka bibi kaamua kurudi kupiga shanta! Dunia hadaa kweli!
 
Hahahahaha,kumbe bibi zetu nao ni FURSA

ndio hivyo ndugu yangu. kwanini wasiwasaidie tu, hadi wawachezeshe viduku na azonto? mwendeshaji wa kipindi mwenyewe kama mvuta bangi. hana heshima hata kidogo.
 
Huyo mwendeshaji ni teja maarufu ndo huyu aliyemwaribu mangwea,adam mchomvu na mtoto wa Tenga raisi wa tff anayeitwa montiny
 
Back
Top Bottom