Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Kiongozi mkeo anakupenda wewe na wanao,

Punguzeni kufatiliana Kwa kila hatua mpunguze migogoro labda pale unapoona kuna alarm tatanishi halafu yeye anakwambia hii ni azana
 
Dah inshort wanawake asilimia kubwa huwa wanatoka nje ya ndoa...ila ni kwa Siri mnoooo ukimfattilia vizurii lazima utamkamata...
Huku maofsn ndo majanga kabisaaa
 
Ndoa za siku hizi bwana!
Sasa hio kufuatilia hivyo , haitoshi umekuja kuliweka mtandaoni!
Ndio kusema wanaume tumeshindwa kuzibeba changamoto za kwenye ndoa?
Ni miaka saba sasa bado hamuaminiani mtatoboa miaka 50 ya ndoa kweli kama wazee wetu?
Miaka shekhe Siyo sababu ukikutana na mtu tofauti a.k.a bokoharam hata miezi sita hutoboi
 
Miaka 7 ya ndoa halafu bado unakagua simu ya mkeo! Una matatizo mkuu.
 
Mpuuze,jikite kwenye kutengeneza uchumi imara yaani ishi kama hujaoa na huna mpango wa kuoa.
 
Nitumie namba za mkeo kuna kitu namtumie link akiifungua tu sms anazo chat zitakuwa zinakuja kwako, nipe na yako pia.
TsnCs kuzingatiwa.
ONYO. Sitahusika na chochote utakachoona au kusikiliza pande zenu mbili
Unisaidie na mimi
 
Team kataa ndoa wapewe makoti kileleni kuna baridi

Anyway, chukua hatua, majuto ni mjukuu kama jina lako
 
Ndo ni uvumilivu, kubaliana na majibu yake na utulie zako.Ukiona imekuwa too much kapime watoto DNA na ukikuta sio wako iambie akili kuwa hayo ni matokeo na maisha lazima yaendelee, beba begi na vinguo vyako usepe kimya kimya wala usiropoke chochote kile.
 
vumilia jipe muda wa kutosha.
haraka haraka haina baraka
mvumilivu hula mbivu
wako juu wangoje chini
polepole ndio mwendo
kuna wakati mdogo wangu inabidi kwenye ndoa tuache ubinafsi na tuumie kwa sababu ya wengine. kadri tunavyokuwa lazima tuelewe kuwa wake zetu wanaweza kuliwa wakati wowote na yeyote hivyo hilo eneo lipe sehemu ndogo sana ya maumivu kwakuwa ni mwili wake ameamua mwenyewe kujidhalilisha.
tafuta maisha na panga mipango yako na jinsi ya kufanikisha matarajio yako wewe na familia.
usijisike vibaya wakikuona bwege cha msingi unajua nini unafanya.
ukishakaa sawa vikizidi na watoto wakifikisha uwezo wa kukuelewa unaweza kufanya maamuzi.
hawa watu hatukuwakuta bikira toka mwanzo tulioa wake za watu bora angekuwa mke wa mtu ila ni mke wa watu kwa kuwa baada ya ubikira wake wako wanaume inawezekana zaidi ya wawili wamepita hapo na wengine alipata nao watoto lakini hawakufanikiwa kuwalea walikufa kwa kujitakia.
 
Pole sana mkuu kilitokea nini
 
Moja ya matumizi mabaya ya muda ni kukagua simu ya mkeo ama mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…