Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
utakuwa umemchoka labda
 
Hapo bado hakuna ushahidi wa moja kwa moja kumtia mtu hatiani.
Mahakamani angekushinda.
 
Ukitaka kupata amani ya nafsi katika ndoa basi hakikisha hamshikiani simu zenu.
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Kuna sehemu unasaidiwa , huyo si mwaminifu kaeni chini mmalize tofauti zenu la sivyo ndoa inaenda kuwa ndoano , huyo kuna sehemu anakazwa hivyo kuwa makini ndugu yangu.
 
Umeshaamini umeoa mchepukaji, unachofanya ni kutafuta uthibitisho, inawezekana upo sahihi.

Ila kama hana hiyo tabia si afya sana kwenu na utakuwa mtumwa wa hisia zako na mwishowe anaweza kuomba uhuru wake.

Ulipaswa kuwa mvumilivu uende taratibu, kama ni kamalaya ungekadaka tu maana tabia ni ngozi.
 
Tunaviaziana sana.

Siku moja nimemchukua mke wa mtu majira ya saa 2 kasoro hivi usiku. Nikaenda nae geto. Nikampiga tu moja chapu na kumruhusu aende kwa kuwa mumewe alikuwa around.

Kwa bahati mbaya mumewe alifika nyumbani asimkute. Nae akaondoka. Mke alipofika akaambiwa na watoto baba alifika alikuwa anakuulizia.

Mumewe alipofika home akamwuliza mke alikuwa wapi. Mke akajibu nilienda kazini maramoja kulikuwa na dharura.

Mume akabwabwaja mawili matatu kisha utaratibu wa home ukaendelea.

Mwanamke usimwamini hata dakika moja. Kwa story ya jamaa yetu, mkewe alienda kuliwa somewhere. Hakuna cha ofisi wala nini. Kama alikoenda kulikuwa kwema kwanini asimjulishe mumewe kuwa mida hii natoka home naenda mahali fulani?
 
Kama wanandoa wanajali future ya watoto wao wasichunguzane kwenye simu zao.
Je ni kweli uaminifu kwenye ndoa limekua suala gumu kiasi hicho hadi kufikia hatua ya kuhalalisha kuwa ni sehemu ya maisha ya ndoa?
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Hisia tu hizo, hakuna baya
 
Mkuuu hiyo chuma inasafishwa endelea kupiga kinanda,, hrf mpe muda kiume huyo kama ni paka wa baa utajua ishi kibishi ndoa isikutishe kuwa mfukunyuku huyo wa kwako,, lkn ukumbuke mwanamke akisaliti ujue amekusudia na hawezi kucht kama Hana hisia kwahyo jiongeze
 
Saa moja usiku sio mbaya, ondoa hofu; ingekuwa saa 5 usiku ungekuwa na mashaka.
 
Dhihilisha uwanaume kamili hapo sis vijana ngoja tukae kimya
 
Ingetumia tu,ona umeharibu upelelezi ambao ukiitaji subira tu...pia simu ya mkeo unaangalia ya nini?
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Acha ufala
 
Back
Top Bottom