Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka kuvunja ndoa huyo.Ni kweli tunaviziana sana. Mmoja pale job amekuwa na kawaida ya kuweka voice record kwenye simu ya mumewe halafu akirudi jioni anahamisha nasikiliza mazungumzo ya mumewe awapo kazini siku nzima. Nadhani kipo anachokivizia😀
Nasemajeeee ataejileta weeeee fumuaaaa tu☺️Napinga hoja... Sina tamaa sabau nimekata tamaa...
Mkuu moja na nusu usiku (19:30Hrs) mbona ni muda wa kawaida sana, tu!? Tena kwq meseji za kawaida za kutaka kutambua hali za watoto kwa wakati huo!?Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Unatombewa blazaNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Nalinda bahari watu wasiogeleeAnataka kuvunja ndoa huyo.
Ishu za kitoto utapata stress bure labda uoe maitiBora wewe mkuu kunautata kidogo kwenye ishuyako.
Minimtu wa kutokatoka sana nje ya nchi tarehe 12 nimerudi home kwa mapimziko ya wiki,tarehe 15 nikatoka kwenda kwa washkaji kupata 2, 3 baridi kwakuwa kitambo hatujaonana.
Narudi night bacheki cm ya wife nakuta msj 1 ya happy Valentine, kukagua jina nakutajina la mwanaume, namuuliza mamamtu what's fuc@ hell's this!, anasema haijuinamba.
Naipiga haipatikani mpakanaondoka.
Ilanimemwambia hatujamaliza nikirudi hiikesi itaanza upya.[emoji35]
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Sometimes tunaishi nao kwa ajili ya watoto tunayabeba maumivu ya watoto akili zao zinafanana wote ukifocus nao sana utoboi sometimes ishu nao kama vile unaishi na robot hautoumiaHio nyepesi kabisa hiyo tukisimulia yetu mkuu kama ni wewe utaua mtoto wa mtu
Nimekaa na mke wangu miaka kumi nilimwamini sana lakini tukio nilililo kuja kutana nalo siwezi muamini mwanamke wa aina yoyote ile napigania TU wanangu wasihisi tofauti yoyote mungu akiniweka hai Hadi wakue wamalize masomo Yao ndio labda niwasimulie mkasa mzima wanawake ukiwapenda sana wanakupotezea malengo amini hivyo