Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Nawasisitiza vijana......

KAGUA HIYO SIMU YA MKEO AU MUMEO.....

KAGUA HIYO SIMU YA MKEO AU MUMEO.......

Wengi waoga wa kukagua simu za wenzi wao.....wanaishi na vvu..... wengine wanalea watoto wasio WA kwao......
 
Pole sana mkuu kilitokea nini
Hapana sipendi kulizingumzia hili kabisa ila mwanamke usimwamini hata iweje ni kiumbe ambacho ni Cha ajabu sana mda wowote atabadilika na mpaka ukashangaa mi nilimiamini sana mke wangu lakini nolicho kutana nacho
 
Na unaweza kukaa na simu ya mkeo ata wiki lakini kumbeee ni hatari na nusu
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Kama hujawahi hisi chochote kwake, Wala hana viashiria vingine kausha na ulitakiwa ukae kimya uendelee na mengine, hapo ni kama unatafta matatizo, usifanye hivyo, kama tatizo lipo litakuja, kama ana viashiria vingine endelea kutafta ushahidi, yote kwa yote muombe Allah Hali hiyo isikutokee atulie usione chochote kibaya kutoka kwake.
 
Hapana sipendi kulizingumzia hili kabisa ila mwanamke usimwamini hata iweje ni kiumbe ambacho ni Cha ajabu sana mda wowote atabadilika na mpaka ukashangaa mi nilimiamini sana mke wangu lakini nolicho kutana nacho
Pole sana mkuu, wanawake ni hatari sana.
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
FUKUZA huyo Malaya, na hakulala hapo nyumban

Ulikosea kuanza naye, ungembana mdada wa kazi kwanza..

Watoto kulala mpaka kuamka, mpaka dada wa kazi anapika, wanakula ni muda mrefu sana hakuwepo, na Kuna uwezekano hakulala hapo nyumban siku hiyo.

Mbane Mdada wa kazi akupe ukweli, usimbane Kwa vitisho, mbane Kwa kumwambia utamuongezea mshahara mzuri .
 
Ndoa za siku hizi bwana!
Sasa hio kufuatilia hivyo , haitoshi umekuja kuliweka mtandaoni!
Ndio kusema wanaume tumeshindwa kuzibeba changamoto za kwenye ndoa?
Ni miaka saba sasa bado hamuaminiani mtatoboa miaka 50 ya ndoa kweli kama wazee wetu?
Usimwamini mwanamke hata kama mmeishi naye miaka 30 .
 
sasa hapo hata ukijua kuwa mke wako amef*rwa haswa utafanyaje halloo! na una familia tayari! (watoto) mengine vunga tu, maadam umeamua kuoa.
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
  1. MIMI SISOMI SMS ZA WIFE
  2. NAANZA KUWA CONCERN KAMA BAADA YA MIDNIGHT (i.e next day) HAPATIKANI KWA CM (i.e nahofia usalama wake tu)
 
😄😄 Msiogope Wadogo zetu, ndoa ni kitu cha muhimu sanaa kikubwa hakikisha unaoa mwanamke unayeweza kumControl kwa kila kitu. Sasa tatizo lenu mnaangalia matrakoh na sura zaidi ya hidden traits.
This is fact bro!
 
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam

Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)

Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika

Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka

Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:33 usiku-- wameoga

Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada

Mke saa 19:36 usiku-- wamekula

Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula

Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.

Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.

Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
hili suala usingelileta hapa,malizaneni hukohuko
 
Acha kuchunguza simu ya Mkeo
 
Back
Top Bottom