Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Mimi Nakataa Ndoa ila kwa ilo namtetea mama mjengo. Ishu ndogo labda ulete ushahidi mkubwa.
 
Ni kweli tunaviziana sana. Mmoja pale job amekuwa na kawaida ya kuweka voice record kwenye simu ya mumewe halafu akirudi jioni anahamisha nasikiliza mazungumzo ya mumewe awapo kazini siku nzima. Nadhani kipo anachokivizia😀
Anataka kuvunja ndoa huyo.
 
Sasa kuna ndoa chache sana nyingi ni uchafu,
Tena kama mke ni mwajiriwa ndiyo uchafu zaidi!
 
Wanaume wameisha sasa sms umezikuta wewe, mke wa kwako wewe, watoto wa kwako wewe, house girl wa kwako wewe, nyumba ya kwako wewe… unataka tukupe ushauri mbovu na tuzidi kukupandisha sukari utese watoto tupate dhambi..!!
 
Mkuu moja na nusu usiku (19:30Hrs) mbona ni muda wa kawaida sana, tu!? Tena kwq meseji za kawaida za kutaka kutambua hali za watoto kwa wakati huo!?

Mkuu punguza wivu katika vitu ambavyo ni vya kawaida sana. Tumia hekima kumuuliza kitu mkeo. Pengine ungalimuuliza kiujania kuwa siku fulani muda fulani (utaje muda huo na siku hiyo) rafiki yangu alikuona sehemu fulani. Mwache yeye mwenyewe atiririke kwa maelezo yake binafsi.
 
Unatombewa blaza
 
Kwakifupi, nimekuja kugundua kuwa being single after marriage is the best chance one can have..ila tu aweze kumudu kuipita salama ile after-breakup period..
 
Bora wewe mkuu kunautata kidogo kwenye ishuyako.
Minimtu wa kutokatoka sana nje ya nchi tarehe 12 nimerudi home kwa mapimziko ya wiki,tarehe 15 nikatoka kwenda kwa washkaji kupata 2, 3 baridi kwakuwa kitambo hatujaonana.
Narudi night bacheki cm ya wife nakuta msj 1 ya happy Valentine, kukagua jina nakutajina la mwanaume, namuuliza mamamtu what's fuc@ hell's this!, anasema haijuinamba.

Naipiga haipatikani mpakanaondoka.

Ilanimemwambia hatujamaliza nikirudi hiikesi itaanza upya.[emoji35]

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ishu za kitoto utapata stress bure labda uoe maiti
 
Sometimes tunaishi nao kwa ajili ya watoto tunayabeba maumivu ya watoto akili zao zinafanana wote ukifocus nao sana utoboi sometimes ishu nao kama vile unaishi na robot hautoumia
 
Yetu mazito yako ni sawa na mjukuu tu wa matatizo.
Mwanaume kubadili mwanamke kuoa mwingine ni sawa na kubadili kinywaji tu ulikuwa unakunywa Pepsi siku hizi unatumia coca-cola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…