Hv mm nikajiandikishe ili iwe nn kama tulijiandikisha kipindi kilichopita wakasema viongozi wa vyama vya upinzani hawajui kujaza fomu basi utaratibu wa kuwapata viongozi uliotumika kipindi kile uendelee. I swear to my God sitofanya ujinga uo. Ila udiwani ubunge na rais wakae chonjo ata barabarani nitaingia hapa tunatest mitambo.Wanadamu ni jadi yetu kulalamika. Nimewahi ona sehemu malalamiko kwa serikali kwamba hamasa ni ndogo. Sasa Leo matangazo yanapita kila kona mitaani,WhatsApp status,fb,x,IG,sms nk lkn Leo tunaanza kulalamika.
Pia naona kama kuna chumvi inakolegwa kiukweli. X7 kwa siku laini moja ya mtandao? Naonaga zinatumwa 1 per Sim. Labda wenzetu mnamiliki laini nyingi.
Kingine naomba tujiulize hivi lengo mama la hizi sms ni baya? Leo tunatumiana meseji mbalimbali,michango ya harusi,shuleni,mipira,mademu,pombe nk sasa sembuse uchaguzi? Kuna kasoro kwenye chaguzi zetu kweli ,lakini lengo mama la hizi sms ni baya?
Tena kwa style ya MARADONAWanalazimisha tujiandikishe, halafu siku ya uchaguzi wanajiamulia tu wenyewe nani awe mshindi!!
Bado mkuuumejiandikisha ndugu
Makampuni ya simu hayakohoi mbele ya State, simu moja tu bulky sms zinaanza kutufikia sisiImekua kero hv anaetoa namba mpaka tunatumiwa hizi sms ni nani natamani nimshtaki japo sifahamu vizuri sheria
Kama ni haki yake hivyo ana haki pia ya kuitumia au kutoitumia, kwanini linapofika suala la wao kupata kula ndo hii haki ya kupiga kura inasemwa sana. Haki zingine mbona hamsemi, haki ya kuishi, haki ya kusikilizwa, haki ya kuandama nk mbona hakuna sms tunatumiwa kuhusu hizo haki zingine?KUjiandikisha ni haki yako ya msingi
Haki zote hizo zipo kisheria, ni ipi kati ya hizo amenyimwa Mwananchi?Kama ni haki yake hivyo ana haki pia ya kuitumia au kutoitumia, kwanini linapofika suala la wao kupata kula ndo hii haki ya kupiga kura inasemwa sana. Haki zingine mbona hamsemi, haki ya kuishi, haki ya kusikilizwa, haki ya kuandama nk mbona hakuna sms tunatumiwa kuhusu hizo haki zingine?
Kwani kuwepo kisheria ndo kuzitekeleza?Haki zote hizo zipo kisheria, ni ipi kati ya hizo amenyimwa Mwananchi?
Kwani kuwepo kisheria ndo kuzitekeleza
umechemka mkuuBado mkuu
Kwa nini mkuu?umechemka mkuu
We hata mbinguni vijijini hutofika!Wamtumie na Nape
Kwani wew unaishi tz au ni diaspora au kiufupi tupatie maoni yako ya uchaguz wa 2019/2020 kwamba unadhan katika mazgira yale kati ya mamlaka na wananchi nani alizingua!?...na je,kauli za akina nape,2015 na 2024 na viongozi wengine waliosema juu ya nani anaye amua matokeo ya uchaguz,hapo utuambie kura ya mwananchi ina kazi gan!Haki zote hizo zipo kisheria, ni ipi kati ya hizo amenyimwa Mwananchi?