SMS za kuhimiza kujiandikisha kupiga kura zimekuwa kero

SMS za kuhimiza kujiandikisha kupiga kura zimekuwa kero

Ungevaa viatu kwanza vya mtoa mada af ndo utoe maoni yako.Kwan kujiandkisha ni lazma!?...yaaan nkama wanalaxmisha watu wajiandkishe binafsi kwa sarakasi za 2019/2020 na maneno ya ushaidi ya wenye kushika mpini kupig kura ni kama kujidharirisha wananchi.Lakini huu upuuzi wa vyam vingi sijui kwanini wasivifute kibaki chama kimoja tuu ili tusiendelee kupotezeana mda wakati wenye kuamua nani ashinde sio wapiga kura.
 
Wanadamu ni jadi yetu kulalamika. Nimewahi ona sehemu malalamiko kwa serikali kwamba hamasa ni ndogo. Sasa Leo matangazo yanapita kila kona mitaani,WhatsApp status,fb,x,IG,sms nk lkn Leo tunaanza kulalamika.

Pia naona kama kuna chumvi inakolegwa kiukweli. X7 kwa siku laini moja ya mtandao? Naonaga zinatumwa 1 per Sim. Labda wenzetu mnamiliki laini nyingi.

Kingine naomba tujiulize hivi lengo mama la hizi sms ni baya? Leo tunatumiana meseji mbalimbali,michango ya harusi,shuleni,mipira,mademu,pombe nk sasa sembuse uchaguzi? Kuna kasoro kwenye chaguzi zetu kweli ,lakini lengo mama la hizi sms ni baya?
 
Hv mm nikajiandikishe ili iwe nn kama tulijiandikisha kipindi kilichopita wakasema viongozi wa vyama vya upinzani hawajui kujaza fomu basi utaratibu wa kuwapata viongozi uliotumika kipindi kile uendelee. I swear to my God sitofanya ujinga uo. Ila udiwani ubunge na rais wakae chonjo ata barabarani nitaingia hapa tunatest mitambo.
 
Wangekuwa wanajua wananchi walishawachoka wasingesumbuka kutuma meseji.

Ifike hatua viongozi wajiulize kwanini wananchi hawataki kujiandikisha. Baada ya hapo waje na suluhisho.

Huku kwetu mkurugenzi katoa gari linapita mtaani kutangaza halafu watu wanawaangalia tu na kusema hiiii!!

Wao wanasumbuka bure yani kifupi ni kwamba wafanye tu kama mwaka 19/20 wajipitishe tu wenyewe ili wafurahie kupita bila kupingwa .

Mambo wameyakosea wenyewe halafu wanalazimisha watu. Na bado kwenye uchaguzi watawakamata watu kwanguvu. Bora hata wahadizabe wanamalizana nao mapema hakuna nyama hakuna kujiandikisha. Leta nyama mtuhesabu, leta nyama tujiandikishe baada ya hapo wahadizabe wanaendelea na maisha yao .

NA MALIZIA KWA KUSEMA "NIMWENDO WA KUGARAGARA."
 
Leo wamenitumia 4 mfululizo. Wahusika hebu waache kero.
 
Kuna siku nikareply ujinga wangu kama kawa si ikagoma kwenda!? Wana bahati ***** zao
 
Imekua kero hv anaetoa namba mpaka tunatumiwa hizi sms ni nani natamani nimshtaki japo sifahamu vizuri sheria
Makampuni ya simu hayakohoi mbele ya State, simu moja tu bulky sms zinaanza kutufikia sisi
 
KUjiandikisha ni haki yako ya msingi
Kama ni haki yake hivyo ana haki pia ya kuitumia au kutoitumia, kwanini linapofika suala la wao kupata kula ndo hii haki ya kupiga kura inasemwa sana. Haki zingine mbona hamsemi, haki ya kuishi, haki ya kusikilizwa, haki ya kuandama nk mbona hakuna sms tunatumiwa kuhusu hizo haki zingine?
 
Haki zote hizo zipo kisheria, ni ipi kati ya hizo amenyimwa Mwananchi?
 
Kutekeleza ni jambo lingine, mimi nimekuuliza miongoni mwa hizo haki ulizotaja ni haki ipi ambayo umeikosa wewe au ameikosa Mwananchi?
Kwani kuwepo kisheria ndo kuzitekeleza
 
Haki zote hizo zipo kisheria, ni ipi kati ya hizo amenyimwa Mwananchi?
Kwani wew unaishi tz au ni diaspora au kiufupi tupatie maoni yako ya uchaguz wa 2019/2020 kwamba unadhan katika mazgira yale kati ya mamlaka na wananchi nani alizingua!?...na je,kauli za akina nape,2015 na 2024 na viongozi wengine waliosema juu ya nani anaye amua matokeo ya uchaguz,hapo utuambie kura ya mwananchi ina kazi gan!
 
Back
Top Bottom