SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

Hahaha!. Umetisha Mkuu!.

Vipi ulifanikiwa lakini?
 
Hapo kwa binti kiziwi umeua bosi......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni mwanaume?
  • Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Imagine mtu unamsalimia tu ila hio salamu anaweza asiijibu sasa naanzaje kumuomba namba mtu kama huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ seuze kumtongoza
Na nyie Kuna macho huwa mnaangaliaga ya wizi wizi tu,, tutawaitikia jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
  • Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu

Kwn Aisha j we jinsia gan Mbn ulivyoandika kama naw mwnaume
 
Your browser is not able to display this video.
kwan hii ni script au ndio live
 
Nitaomba namba kufanikisha appointment ya kutoka out tukifika huko namwaga mistari face to face japo maneno yanatokaga kwa sauti ya kukata pumzi balaa.

Aisee Ile mbinu ya kutengeneza mazingira inachukua muda mno duh out zinakuwa nyingi na bado hata hujaeleweka.
Wooi nasema mie akikubali akikataa potelea mbali
 
Kwanza demu akisha kubali kutoka out tu,tayari huyo unasubiri out ya pili ya kukamilisha mambo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe muoga eh!!!! 🀣🀣🀣🀣🀣 mimi sina hilo tatizo hata chembe tena mtongozo wa uso kwa uso huwa unanoga sana kwani umeshamtupia mrembo jicho na kumzoom kwa karibu na kuvutiwa naye hivyo UNAZOZA TU!

Mademu wengine wana Ego anaweza akakushushua tu bila sababuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…