Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Hahaha!. Umetisha Mkuu!.Mimi siogopi kabisa na naenjoy kutongoza rekodi yangu ni kumtongoza koplo wa polisi aliekuja kusimamia mtihani wangu wa kidato cha sita nkisubiri kwenda kufanya dissection ya mende
Yes nlimtongoza akiwa amebeba sub machine gun yake half magazine..
Mara ya mwsho nlitongoza kiziwi kwenye basi ya abood nlikua nkiongea anasmile tu kumbe anisikiii
Vipi ulifanikiwa lakini?