SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

Wapumbavu sana hawa ndo maana hawaendelei kwenye mambo ya kielimu kazi ubaguzi tu
 
Walifikaje huko??

Kwani Zanzibar sio Tanzania??
 
 
Ila hawa wanzazibari sijui wanajikuta kina maan wao ndio wengi sana huku bara wanakuja kila leo watoto kwa wakubwa na hatuwasimangi tunawachukuloa km watanzania wiwote tu tena hatuwaiti wanzazibari tunawaita wapenda basi imeisha.
Ila wao wanafanya juu chini kuonesha km kwamba bara kunamatatizo sana.

Wanzazibari wameathirika sana na utumwa iseee!
 
Wanajitokeza kusema hayo baada ya Saidi kutajwa kuhusika na hiyo biashara
Your browser is not able to display this video.
 
Kauli za namna hii zimekuwa nyingi sana hasa awamu hii ya Samia hazitolewi kwa bahati mbaya huo ni mkakati maalum subirini amalize muda wake 2030 ndio watanganyika mtajua hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…