SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

Kwahiyo Zanzibar ni nchi tajiri ndiyo maana watoto wa kutoka Tanganyika wanakimbilia huko! Hawa nyau wana dharau sana wakati wao huku kwetu wamejazana kama kumbikumbi.
 
Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.

Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.

“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.

Chanzo: The Citizen Tanzania
Wao Wazanzibar na watoto wao wamejazana tele kama dagaa huku bara. Hadi Matejoo nimewaona wapemba. Hawana kazi maalum wana kiosk tu chenye thamani ya elfu 50.

Serikalj iwarudishe kwao Mkokotoni
 
Hapa wamevuka mipaka, hili halivumiliki
 
Isijekuwa hili wimbi la kupotea na kutekwa Kwa Watoto wakawa wanapelekwa Zanzibar Kwa sababu ambazo hatujui.

Mmlaka zifanye Uchunguzi na kuchukua hatua huenda hizi takwimu hapa zikaleta jibu,Kwa nini ulawiti uwe mkubwa Zanzibar (Mjini Magharibi)?

---
Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691.

Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio 2,488 yaliyoripotiwa mwaka 2023 katika vituo mbalimbali vya polisi.

Ulawiti.jpg

---
My Take
Poleni sana Wahamiaji Haramu wa Bara 😂😂👇👇👇

--
Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.

Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.

“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.

Chanzo: The Citizen Tanzania
 
Eti wanajeshi! Yani ungekuwa kwenye idara za ulinzi ungeona aibu.
Mkuu wa majeshi yupo bara na zanzibar inaonekana kama mkoa kama mikoa mingine kijeshi.
Mkuu wa mapolisi yupo bara kama nilivyokwambia.
Usalama wa taifa hupo bara.
Benk kuu hipo bara.

Punguza kula samaki jaribu na kitimoto upate kumbukumbu
Zanzibar haikuwahi kuwa juu,Bara kilichofanyika saivi ni mgongano tuu kupata maRais anatoka zanzibar huku na bar na Zanzibar
 
Lugha iliyotumika ni hatari sana na inahamasisha uhasama mbaya, ” WAHAMIAJI HARAMU“ Kwamaana hiyo wazanzibari wote waliopo bara wote ni WAHAMIAJI haramu ukijumuisha na kiongozi wetu mkuu wa serikali?
Tunawaambia kila siku hawa wazanzibar hawafai hata kidogo na muungano uvunjwe haraka sn, angesema hivyo Mbowe CCM wote wangetoka mbele
 
Kama kuna kosa Nyerere sitamsamehe ni kutuunganisha na hawa watu wa hovyo
Hivi visiwa lazima tuvitawale kwa sababu ya kiusalama,, ukotoa zile Millitary base za JWTZ Unguja na Pemba basi ujue bara kwetu sio salama tena.
Maana pemba na Tanga ni dakika 55 kwa fast boat,, Unguja na Dar ni dakika 70 mpaka 60 kwa boat, hii inamaana adui akiingia visiwa hivi mfano vikundi vya ugaidi ujue hatutokua salama tena.
Serikali iweke mikakati madhubuti tu katika Muungano huu.
 
Back
Top Bottom