Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Sasa hamtaki watu kuingia mbona nyie huku bara mmejaa kila kona ya nchi na husikii milio kama yenu. Acheni ubinafsi, ndo maana halisi ya neno muungano hiyo!ANGALIZO:
Moderator naomba usibadilishe kichwa cha Uzi maana mnatabia ya kubadilisha uwelekewa uzito wajambo.
Kuna mda kuficha ukweli kwenye platform mlizoziweka wenyewe mjengi kitu sababu mnafanya watu kubaki na madukuduku yao.
Mada moja iliwekwa kuwa kuna wahamiaji wengi wakiingia visiwani toka tanzania je ili jambo baada ya kuona watu kuwa wakali mkabadilisha mada baada ya muhusika mwenye kutoka huko kuandika alivyo uona muungano kwake kama sisi wahamiaji kwenda huko.
Bado kuna mambo mengi ambayo muungano unamapungufu na tukiyaficha yanweza yasifichike tena huko mbeleni kwa watanganyika.
UZI USIFUTWE
Hapa ndio mnapojichanganya, kitu kidogo tayari mnatia udini, Zanzibar ni inchi inakaliwa kwa mabavu na Tanganyika, ni eidha tuendelee kuvumilia hivi vimaneno au tuwape inchi yao tuishi kwa amani.Akili zao ni maji taka sana
Hakuna wanachokijua zaidi ya ufuasi wa imani.
Sio kweli bwashee, wazenji wanataka hata sasa hivi muungano ufe na wawe na inchi yao, ni sisi ndio tunawan'gang'aniatukisema icho kiwilaya kiondoke kwenye nchi yetu kijitegemee, wanagoma, inakuwaje wanawafanya watoto wa bara kama vile ni wageni toka nchi za nje? yaani watoto wa kitanzania ni wahamiaji ndani ya tanzania?
AahhaaaaKumbe Sisi ni Wahamiaji tukienda Zanzibar? Nusura waseme Wahamiaji haram
Amkeni tukatafute mkate wetu wa kila siku
Kumekucha
Hapa ndio mnapojichanganya, kitu kidogo tayari mnatia udini, Zanzibar ni inchi inakaliwa kwa mabavu na Tanganyika, ni eidha tuendelee kuvumilia hivi vimaneno au tuwape inchi yao tuishi kwa amani.
Kwanini tunawang'ang'ania?
Majinga sana haya!Wapumbavu sana hawa ndo maana hawaendelei kwenye mambo ya kielimu kazi ubaguzi tu
Panya road in Zanzibar from Tanganyika ni hivyo tuSijaelewa hata kidogo kama ni ubaguzi ndani ya nchi moja. Au Zanzibar ni Kenya?
Ubaguzi huuSerikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.
Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.
Chanzo: The Citizen Tanzania
Neno uhamiaji ni pana sana. Kumbuka kutoka kitongoji, kijiji kimoja, mtaa au mji mmoja, jiji, nchi au bara moja kwenda kwingine bado ni uhamiaji!Kumbe Sisi ni Wahamiaji tukienda Zanzibar? Nusura waseme Wahamiaji haram
Nyie watanganyika hatutaki mupeleke ulokole wenu ZanzibarKumbe Sisi ni Wahamiaji tukienda Zanzibar? Nusura waseme Wahamiaji haram