Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duùuHao watoto jumla 85 anaona wengi sasa hawa Wapemba na Waunguja kwa maelfu waliopo Bara tusemeje?
Zanzibar gani hiyo unayoisemea mkuu?? Mbona tunapita nao sana tuSubutuuu, huku wanamiliki Ardhi KUBWA na wanamiliki hadi mademu zetu! Wewe kupata mke Zanzibar ufanye KAZI ya ziada labda uwe mwarabu
Hawa maharamia ya zanzibar sjui wanatuonaje wabara.Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.
Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.
Chanzo: The Citizen Tanzania
Halafu wao wamejaa huku Bara a vibiashara vyao vya maduka ya maarabu/mpemba. Na tuna kaa kimyaAmesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
Kama ni hivi huwa sielewi maana ya muungano kabisa🤔🤔
KabisaKuna wapemba chungu mbovu huku kahama sisi hatusemi kitu.
Nipe connection tafadhaliZanzibar gani hiyo unayoisemea mkuu?? Mbona tunapita nao sana tu
Yani pyuuuuu.Ndio mjue Zanzibar ni nchi yenye mamlaka yake, watanganyika baadhi endeleeni kudanganywa eti ni sehemu ya Tanzania visiwani.
Yani pyuuuuu.
Halafu yamejazana huku bara hadi vijijini yameanza kuzaana
Kwaio viongozi wa Zanzibar kukemea hadharani wahamiaji haramu imekua kosa? Basi na nyinyi waambieni viongozi wenu walalamileYani pyuuuuu.
Halafu yamejazana huku bara hadi vijijini yameanza kuzaana huku.
Kwa hiyo wabara wakienda zmz ni haramu?Kwaio viongozi wa Zanzibar kukemea hadharani wahamiaji haramu imekua kosa? Basi na nyinyi waambieni viongozi wenu walalamile
Nilipita hivi karibuni Hapo Forodhani muda wa saa 3 usiku hivi.
Ni kweli nimekuta baadhi ya Vijana wadogo wa below 15yrs wakiomba omba na wengi wachache wakijishughulisha na mambo ya dance Kwa Wageni hasa Wazungu huku wakilipwa kiasi kidogo cha fedha.
Japo kwenye hili, hata Watoto wenyewe wa Kizanzibar nao walikwepo.
Nadhani kama Wazazi tujitahidi kuwajibika kwenye malezi ya watoto wetu, ukiwa irresponsible father hayo mambo tuyategemee sana kwenye jamii zetu
Jamaa kiasili ni Wabaguzi sana Kwa Wageni wa Bara ila Kwa ngozi nyeupe naona wanawapa ushirikiano Mkubwa mno hadi wa Kibailojia 🙌hili ndilo la muhimu wazazi/walezi kuwajibika ila ile lugha ni ngumu sana kutumika baina yetu na hapo ndiyo unaona g55 wakati waliona mbali pia the late mchungaji mtikila alikuwa sahihi kwenye masuala mengi yahusuyo siasa za tanganyika na zanzibar.
Ushaona watoto wa kipemba Moshi wakizurula kiholela mpk mbowe asemeAngesema Mbowe mngesema ameongea ukweli? sitaki hata kurudia kusoma takataka
"Top 200 Universities in the Arabic-speaking world" Top 200 Universities in the Arabic-speaking worldKaribu nchi zote, waarabu hawapendi sn mambo ya elimu wao ni dini na dili
Wametumia tu tafsida, ila kiuhalisia hao ni wahamiaji haramuKumbe Sisi ni Wahamiaji tukienda Zanzibar? Nusura waseme Wahamiaji haram