SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

Kila nchi Ina mwanasayansi mvumbuzi!?..nimepoteza muda kujadiliana na mlemavu wa fikra aliyetega shule!!!..jielimishe kwanza babu
Sidhani kama una akili timamu, kwahiyo utalaamu/ubobezi wao wanafanyia wapi? mbona hata matibabu watu wanaenda India na Ulaya na siyo uarabuni? waarabu wametengeneza gari au software ama kitu gani ambacho kimetoka uarabuni?
 
Hizi ndiyo akili unazodai Sina!?..gari na software ni ubunifu wa muda, mwingine alifanya ni kupitia kwenye idea za mtu mwingine, mwanasayansi ulimaanisha mvumbuzi au hata fundi magari!?..Kama ni hivyo arabuni wapo wengi tu, jielimishe
 
Sijui kama umelewa swali langu, kwanini matibabu tunaenda India na Ulaya badala ya Uarabuni mkuu? swali simple sn
 
Sijui kama umelewa swali langu, kwanini matibabu tunaenda India na Ulaya badala ya Uarabuni mkuu? swali simple sn
Waarabu wamekuja Mara ngapi kufanya upasuaji muhimbili!?..Mara ya mwisho wamekuja waarabu wa saudia kupasua mafuvu muhimbili,wamisri muda tu huja,walikuja na upasuaji wa matundu,upasuaji moyo kupitia paja,nyinyi masikini ndiyo muendao India, waarabu hawaendi tibiwa India
 
Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.

Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.

“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.

Chanzo: The Citizen Tanzania
Zanzibar siyo Tanzania?
Waache habari zao.
Zanzibar ni sawa na mtu kutoka Lindi kwenda Mwanza
 
Kwani shida ipo wapi hapo wandugu, kwani hamjawahi kusikia.mambo kama ongezeko la watoto waliosafirishwa au kusafiri kwa njia.zisizo halali kutoka vijijini/mikoani kwenda kwenye majiji kama Dar es salam na Arusha.

Uhamiaji holela upo hadi ngazi ya kitaifa na mikoa pia. Ila huo sio uhamiaji haramu bali holela tu.
 
Hizi ndiyo akili unazodai Sina!?..gari na software ni ubunifu wa muda, mwingine alifanya ni kupitia kwenye idea za mtu mwingine, mwanasayansi ulimaanisha mvumbuzi au hata fundi magari!?..Kama ni hivyo arabuni wapo wengi tu, jielimishe
Kalale kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom