Snoop Dogg sio muhuni kama tunavyomchukulia

Snoop yupo kwenye ndoa mpaka leo sababu mkewe ni mtu wa kuchukulia poa, lakini yule mzee isn't innocent like most of us. Ashapiga sana malaya lakini wife anamaliza kimya kimya, sio wale you cheat on me, ongea na lawyer wangu tuachane.
 
Unamjua suge knight?
Mimi wote hao nawajua,huyo Suge,kuna Yafeu Fula “Kadafi”(deceased),Napoleon,E.D.I Mean alikuwepo Fatal (deceased) na wengineo.

Yaani kuna kipindi crew mzima ya Outlaw nilikuwa naijua,so hakuna taarifa ya kuthibitisha Doggy alikuwa against member wenzie kipindi wakiwa Death Row Dre mwenyewe na na Pac
 
Snoop hakuwa outlaw,unataka uthibitisho upi,orodha ya informants toka FBI?!
 
E.D.I mean Alicreate hili jina alimaanisha Idd Amin bila shaka
 
Snoop yupo kwenye ndoa mpaka leo sababu mkewe ni mtu wa kuchukulia poa, lakini yule mzee isn't innocent like most of us. Ashapiga sana malaya lakini wife anamaliza kimya kimya, sio wale you cheat on me, ongea na lawyer wangu tuachane.
Inawezekana maana ndoa nyingi ushikwa na wanawake
 
Safi sana ,hapo nimekuelewa,ukijifanya muhuni pure hutoboi,
Wahuni for real wanatoboa. I'm talking about real G.
Wahuni uchwara au wa mchongo au wa hovyo tunawaita wasela mavi hao hawafiki mbali hupotea six feet under au jela.
 
Snoop hakuwa outlaw,unataka uthibitisho upi,orodha ya informants toka FBI?!
Yah,Snoop hakuwahi kuwa Outlaw lakini aliwahi kuwa pamoja na Pac Death Row hiyo point niliiweka nikijaribu tu kukuelezea namna navyowajua kupitia kuwasoma na kuwasikiliza hao jamaa.

Huna orodha ya FBI agents ikimjumuisha Snoop hapa tutakuwa tunapoteza muda na kupigana kamba tu huna unalolijua kuhusu hao watu.
 
Hahaha ati sina ninalojua kuhusu hao watu,namsikiliza tupac kabla hajapigwa risasi babu,namsikiliza hadi leo,muziki wangu ni hip hop toka saleh jabir anahangaika nayo magomeni, snoop dogg alikua na walkie talkie siku pac anakula chuma,alikua bize kwenye simu kuonya wapendwa wake wasiende kwenye event ambayo pac alikua akienda sababu 'people will get hurt',snoop kajitetea sana kuhusu hili kwamba pac alikua mwana na alikua akimtembelea home ambap pac alitia saini kwenye ubao wa saini nyumbani kwa snoop,infact snoop alipelekwa death row na andre young,aliyekua mwanae kiundani
 
kuna ile speech yake maarufu " I wanna thank me" ndo ilinifanya nimuone muhuni tofauti very smart
 
Kwa kweli unahoja usipuuzwe
 
Sawa mkuu!

Actually kila binadamu ana analolijua na asilolijua so kwa case mezani may be unajua zaidi yangu so tuache ibaki hivyo.
 
Sawa mkuu!

Actually kila binadamu ana analolijua na asilolijua so kwa case mezani may be unajua zaidi yangu so tuache ibaki hivyo.
Yaani kuhusu hip hop kabla ya 2000 huna la kuniambia,50 cent mwenyewe namuona kizazi kipya kwenye hip-hop
 
Nadhani Kuna ule usela wanauita usela mavi...ila sema wanawake wetu wanatuvumilia sanaaaa, unakaa sometimes unacheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…