Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iliandikwa na nani au wapi hii habari?Snoop ni FBIanashutumiwa usnitch,siku tupac anakula chuma alikua bize na radio call miss hiyo,aliwataarifu awapendao wasiende kule ambako pac alikua anaenda,sababu kuna mtu ataenda kuumizwa
tumuwekee hii statement , tutamkumbusha sio?hitimisho lako zuri kwa sasa ila ukikua utayaona na utajua kuwa hitimisho lako lilikuwa ni tango pori.
Unamjua suge knight?Iliandikwa na nani au wapi hii habari?
Mimi wote hao nawajua,huyo Suge,kuna Yafeu Fula “Kadafi”(deceased),Napoleon,E.D.I Mean alikuwepo Fatal (deceased) na wengineo.Unamjua suge knight?
Snoop hakuwa outlaw,unataka uthibitisho upi,orodha ya informants toka FBI?!Mimi wote hao nawajua,huyo Suge,kuna Yafeu Kadafi(deceased),Napoleon,E.D.I Mean alikuwepo Fatal (deceased) na wengineo.
Yaani kuna kipindi crew mzima ya Outlaw nilikuwa naijua,so hakuna taarifa ya kuthibitisha Doggy alikuwa against member wenzie kipindi wakiwa Death Row Dre mwenyewe na na Pac
E.D.I mean Alicreate hili jina alimaanisha Idd Amin bila shakaMimi wote hao nawajua,huyo Suge,kuna Yafeu Fula “Kadafi”(deceased),Napoleon,E.D.I Mean alikuwepo Fatal (deceased) na wengineo.
Yaani kuna kipindi crew mzima ya Outlaw nilikuwa naijua,so hakuna taarifa ya kuthibitisha Doggy alikuwa against member wenzie kipindi wakiwa Death Row Dre mwenyewe na na Pac
Inawezekana maana ndoa nyingi ushikwa na wanawakeSnoop yupo kwenye ndoa mpaka leo sababu mkewe ni mtu wa kuchukulia poa, lakini yule mzee isn't innocent like most of us. Ashapiga sana malaya lakini wife anamaliza kimya kimya, sio wale you cheat on me, ongea na lawyer wangu tuachane.
Tupac aliwapa wana genzi wa outlaw majina ya viongozi watata,idd amin, gaddafi, napoleonE.D.I mean Alicreate hili jina alimaanisha Idd Amin bila shaka
Wahuni for real wanatoboa. I'm talking about real G.Safi sana ,hapo nimekuelewa,ukijifanya muhuni pure hutoboi,
Yah,Snoop hakuwahi kuwa Outlaw lakini aliwahi kuwa pamoja na Pac Death Row hiyo point niliiweka nikijaribu tu kukuelezea namna navyowajua kupitia kuwasoma na kuwasikiliza hao jamaa.Snoop hakuwa outlaw,unataka uthibitisho upi,orodha ya informants toka FBI?!
Hahaha ati sina ninalojua kuhusu hao watu,namsikiliza tupac kabla hajapigwa risasi babu,namsikiliza hadi leo,muziki wangu ni hip hop toka saleh jabir anahangaika nayo magomeni, snoop dogg alikua na walkie talkie siku pac anakula chuma,alikua bize kwenye simu kuonya wapendwa wake wasiende kwenye event ambayo pac alikua akienda sababu 'people will get hurt',snoop kajitetea sana kuhusu hili kwamba pac alikua mwana na alikua akimtembelea home ambap pac alitia saini kwenye ubao wa saini nyumbani kwa snoop,infact snoop alipelekwa death row na andre young,aliyekua mwanae kiundaniYah,Snoop hakuwahi kuwa Outlaw lakini aliwahi kuwa pamoja na Pac Death Row hiyo point niliiweka nikijaribu tu kukuelezea namna navyowajua kupitia kuwasoma na kuwasikiliza hao jamaa.
Huna orodha ya FBI agents ikimjumuisha Snoop hapa tutakuwa tunapoteza muda na kupigana kamba tu huna unalolijua kuhusu hao watu.
Kwa kweli unahoja usipuuzweUkiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni.
Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college.
Yoke very close na baba yake mzazi japo hapo awali alimtellekeza,yaani yupo close na baba yake kuliko mama yake
Yupo close na familia mke,watoto na wajukuu.
Uhuni unaouona kideoni ni maigizo tu,jamaa hana noma
We unajifanya mtu wa Mungu ndoa imekushinda sasa nani Muhuni hapo,ndoa ni kipimo kimoja wapo cha uhuni
Sawa mkuu!Hahaha ati sina ninalojua kuhusu hao watu,namsikiliza tupac kabla hajapigwa risasi babu,namsikiliza hadi leo,muziki wangu ni hip hop toka saleh jabir anahangaika nayo magomeni, snoop dogg alikua na walkie talkie siku pac anakula chuma,alikua bize kwenye simu kuonya wapendwa wake wasiende kwenye event ambayo pac alikua akienda sababu 'people will get hurt',snoop kajitetea sana kuhusu hili kwamba pac alikua mwana na alikua akimtembelea home ambap pac alitia saini kwenye ubao wa saini nyumbani kwa snoop,infact snoop alipelekwa death row na andre young,aliyekua mwanae kiundani
Yaani kuhusu hip hop kabla ya 2000 huna la kuniambia,50 cent mwenyewe namuona kizazi kipya kwenye hip-hopSawa mkuu!
Actually kila binadamu ana analolijua na asilolijua so kwa case mezani may be unajua zaidi yangu so tuache ibaki hivyo.
Anhaa!Yaani kuhusu hip hop kabla ya 2000 huna la kuniambia,50 cent mwenyewe namuona kizazi kipya kwenye hip-hop
Siyo imani bali factAnhaa!
Sawasawa mdau tuamini wewe ”unajua”!