Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

Au kapata muisiharamu wanataka kutapeliana nyuma ya kivuli cha dini.
 
Kwani wakati akiziachia hadharani hakujua huko kuna ndugu jamaa na watu wa karibu naye?
 
Ni vizuri itakuwa vizuri na mali alizochuma kupitia muziki azigawe jamani
 
Huyu atakuwa kapata bwana kama wa sanchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…