Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

Wengi wakiona muziki unawakataa wanajihami kuwa wanaacha muziki na kumtumikia Mungu, kwan haujatoa hit song kwa muda gan, ata ivyo tulishakusahau kitambo sana
 
Unapambana kutetea naona unajibu Kila posti hao uliowataja pia wanatamani kurudi lakini hawana nafasi tena katika muziki wa leo.
Sikiliza shehe siku moja huu uzi tutaufufua kama hadidu za rejeal inshallah
Nani amekwambia kua napambana? Kumbe unanifuatilia,safi sana usichoke,endelea kunifuatilia,

Walikwambia kua wanatamani kurudi au umeamua tu kuwasemea kwa kufuata tu fikra zako?
 
Age ina go , sometimes inaenda , mara ina went , but umri never return.. Never post a deceased majangaaaaaaaaa. My nigerian friends used to tell me " you guys are blessed all your madams have big nyashi , you know the song chura chura chura chura chura ?" , snura you created a mark which is hard to delete , the internet and history is forever, we wish you the best in your new life. Kila mtu anahitaji hatua yako. We change for better.
 
Kila la kheri lakini isije ikawa kama SANCHIWODI au MZEE YUSUFU.
 
Ku-argue na watu sampuli yako huwa kazi sana mzee yaani kwa mentality hii utanisumbua sana cha kufanya tufanye wewe umeshinda point tatu beba wewe!!!
 
Snura anatafuta Kiki
 
watu ni wajinga sana. Hajui kuwa watu ndio watafanya kinyume yake?
 
Inabidi na hela zote alizopata kupitia mziki aturudishie
 
Ku-argue na watu sampuli yako huwa kazi sana mzee yaani kwa mentality hii utanisumbua sana cha kufanya tufanye wewe umeshinda point tatu beba wewe!!!
Nilijua tu huwezi kua na majibu kwenye maswali niliyokuuliza coz comment zako zilitawaliwa na chuki ya udini tu.
 
Maamuzi mazuri, ila alama za kidigitali haziwezi futika, watu wataendelea kuShare, na hawezi kuwazuia.

Na hili liqe funzo chochote unachoweka mtandaoni huna umiliki nacho tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…