Wewe ukimpa mtu zawadi wewe naandamana uchi humu jf.ataishia kupigwa misosi KFC tuNiseme mawili matatu kuhusu wadada wanaojitegemea.
Mimi nawakubali sana. Mdada kaenda shule, ni mchapakazi, au hata kama hajaenda sana shule basi ni mpambanaji.
Huwa najikuta navutiwa tu na wadada wa hivyo na kwa sababu hiyo ninaweza hata kumzawadia kitu na moyo wangu ukaridhika kuwa nimemzawadia mtu ambaye anajiweza.
Yaani hata yeye mwenyewe kutokana na jasho lake anaweza kukipata hicho nilichomzawadia.
Vile tu alivyompambanaji kunanifanya nimheshimu sana na kumpenda pia [iwe kimapenzi au kikawaida.]
Mwanamke ambaye anasubiri kufanyiwa mambo na mwanaume kwangu hana mvuto kabisa. Ni mzigo.
Nyie mnashare nini na Mimi?Selfie=Selfish...lets share what God gave us.
Kwani wewe ngabu? Wewe una roho ya malaika sema tu sijui wamekulogea wapi unapenda uzinduzi wa k sana hutuliiAisee....! Hivi sijawahi kukuzawadia?
Hebu nionyesheDuh! Vipo vingi inategemea kama uko tayari ku-share.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani wewe ngabu? Wewe una roho ya malaika sema tu sijui wamekulogea wapi unapenda uzinduzi wa k sana hutulii
Lini?Nitakuonesha.
Jokate mwegeloHuo muunganiko huwa hakuna yaani demu awe mrembo, sexy, ana akili na hapo hapo tena awe ana mkwanja duh, hiyo sijawahi kuona!
NipoooWapo humu?!
AhsanteNiseme mawili matatu kuhusu wadada wanaojitegemea.
Mimi nawakubali sana. Mdada kaenda shule, ni mchapakazi, au hata kama hajaenda sana shule basi ni mpambanaji.
Huwa najikuta navutiwa tu na wadada wa hivyo na kwa sababu hiyo ninaweza hata kumzawadia kitu na moyo wangu ukaridhika kuwa nimemzawadia mtu ambaye anajiweza.
Yaani hata yeye mwenyewe kutokana na jasho lake anaweza kukipata hicho nilichomzawadia.
Vile tu alivyompambanaji kunanifanya nimheshimu sana na kumpenda pia [iwe kimapenzi au kikawaida.]
Mwanamke ambaye anasubiri kufanyiwa mambo na mwanaume kwangu hana mvuto kabisa. Ni mzigo.
Nipooo
Bisha sasa[emoji16] [emoji16]
Inaonekana anakujua vyema, she might have a point!Amenipamba mwisho kanimaliza!
UmeanzaYule jamaa wa urusi kala mzigo bureee?!