"Social Economic Empowerment Program" Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi

Madrassa maana yake ni madarasa. Nani alikudanganya kuwa Madrassa (madarasa) yana limit ya kufundisha? Hao unaowajua wewe wanaosoma engineering wanasomea wapi kama si madarasani?

Kama ulikuwa ahuelewi, Madrassa ndio ilizaa University" chuo kikuu (University) cha kwanza duniani.

Hata hayo maandishi unayoyaandika na kuyasoma, aka Alphabets, ni zao la Madrassa kama ulikuwa hufahamu, Hiyo ni Alif Bee Tee, ndipo lilipotoka neno Alphabet.

Hahahahahah. Una mengi ya kujifunza kupitia Madrassatu Abraar. Karibu sana.
 
Abdul Ghafur fafanua tafadhali kwa manufaa ya wengi "unaanza kudunduliza kwetu kidogo kidogo" ni nini hicho fedha au vifaa vya ujenzi. Maana kudunduliza ina maana fedha au pesa.

Madrassa maana yake ni madarasa. Nani alikudanganya kuwa Madrassa (madarasa) yana limit ya kufundisha? Hao unaowajua wewe wanaosoma engineering wanasomea wapi kama si madarasani?

Kama ulikuwa ahuelewi, Madrassa ndio ilizaa "University" chuo kikuu cha kwanza duniani.

Hata hayo maandishi unayoyaandika na kuyasoma, aka Alphabets, ni zao la Madrassa kama ulikuwa hufahamu, Hiyo ni Alif Bee Tee, ndipo lilipotoka neno Alphabet.

Hahahahahah. Jionee mambo haya...
 
Tuchuguze sana vyanzo vya pesa zake isiwe ni kampeni ya kidini ambapo mwisho wa siku tutaanza kuwa na magaidi. Maana hawa mabeberu wawe wa kiarabu au kizungu, hawafanyi kitu bila kuwa na ajenda ya siri kwa kuutumia ujinga na umaskini wetu. Muhimu, tuache utegemezi na kutumia raslimali zetu vizuri.
 
Kama mtu kufundishwa kujenga ni ugaidi, basi huo ni ugaidi mwema kabisa.
 
Kama mttu kufundishwa kujenga ni ugaidi, basi huo ni ugaidi mwema kabisa.
Sisemi kufundishwa kujenga ni vibaya. Hata wamisionari walitufundisha elimu lakini haikutusaidia kitu ikilinganishwa na ukoloni waliouwezesha. Hizi dini zimeua mila na namna yetu ya kuishi na kutufanya mafala tunaotegemea pepo katika umaskini wa kutengenezwa nazo. Kwanini sisi tusiende kuwasaidia hao waarabu na wairani au wazungu wakati tumejaliwa raslimali nyingi kuliko wao? Blessed is the hand that giveth than the one that taketh mwanangu.
 
Elimu bure inawezekana - Magufuli.
 
Kweli kabisa mkuu bora hio elimu yenu maana hii ya huku hovyovtu watu hatisomi kwaajili ya maendeleo bali tunasomea mitihani yao.
 
Kweli kabisa mkuu bora hio elimu yenu maana hii ya huku hovyovtu watu hatisomi kwaajili ya maendeleo bali tunasomea mitihani yao.
Elimu gani ya kukariri quran aka madrassa na upigaji kaswida ukiachia mbali kutengeneza watu wanaojikana wakajiona ni waarabu kuliko waswahili. Taifa la Sudan limemegwa na kuangamizwa na ujinga huu unaoitwa ilmu.
 
Maana ya "dini" ni njia na sisi tuna dini zetu. Kama wewe hauna dini ni wewe. Fanya upendacho kwa raha zako na sisi wacha tufanye tupendavyo mradi sote tusivunje sheria za nchi.

Ndio raha ya kuwa huru.
 
Abdul Ghafur fafanua tafadhali kwa manufaa ya wengi "unaanza kudunduliza kwetu kidogo kidogo" ni nini hicho fedha au vifaa vya ujenzi. Maana kudunduliza ina maana fedha au pesa.
Of course vifaa vya ujenzi, iunatoa 2,500 unapata kifaa cha ujenzi. Kama hauna pa kukiweka tunakuwekea, vikitimia kumi tunakuja kuanza kukujengea. Unadunduliza kidogo kidogo.

Huu ni mpango wa kipekee, haujwahi kutokea. Si lazima uwe na mamilioni ndio uanze kujenga, unaanza kwa Shillingi 2,500 tu...

Hivyo vifaa vya mtu anadunduliza.
 
Sijaelewa zaidi ya 2500/= mengine unajikanyagakanyaga tu
 
Sijaelewa zaidi ya 2500/= mengine unajikanyagakanyaga tu
Sijawahi kudhani kuwa kila mtu atanielewa. Ikiwa watu wanashindwa kumuelewa Mungu na mitume yake watawezaje wote kunielewa mimi? Itakuwa ni muujiza.

Kila mmoja na uelewa wake na muono wake. Uliza moja moja ambalo hujaelewa nikueleweshe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…