"Social Economic Empowerment Program" Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi

Samahaniii hiyo nauli- kutoka kibaha Hadi hapo madrasa ni 10000 kwa pikipiki au umekosea kuandika ulimaanisha 1000
Kweli kabisa nimekosea ni 1,000 (Elfu moja) kutokea stendi ya Miyomboni.
 
Hivo viwanja mnauza bila riba vipo wapi boss
Na no sh ngapi??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Hivo viwanja mnauza bila riba vipo wapi boss
Na no sh ngapi??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa kuna vianja vipo Village Abraar, Mkuranga. Pia kuna viwanja vipo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani.

Si viwanja tu, pia tuna mpango wa kipekee wa ujenzi, haujawahi kutokea. Mpango huo uakuwezesha kuanza kujenga bila jasho bila riba. kKwa kadiri ya uwezo wako ndivyo ujenzi unaendelea kwa kuanzia na Shillingi 2,500 tu. (Ndio, Shillingi elfu mbili na mia tano tu. Sijakosea.).
 
Uliouandika ni ukweli usiopingika na mawazo chanya (positive thinking) kabisa.
 
Aisee .na kuhusu biashara mitaji boss??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Hatubagui dini wala kabila. Tunao hapa wanafunzi wa kila dini, kila rangi, kila kabila. Tunao hata wasio na dini.

Karibu sana.
Ukishasema wanafunzi maana yake kuna jambo wanajifunza NI NINI?HICHO WANACHOJIFUNZA?AU KARATE?
 
Ukishasema wanafunzi maana yake kuna jambo wanajifunza NI NINI?HICHO WANACHOJIFUNZA?AU KARATE?
Soma vizuri post namba 1 kipengele cha pili tumeelezea mafunzo yaliopo au kama u mvivu wa kusoma au kama unachosoma hukielewi hakuna tatizo, fika hapa kwetu ujionee tunachofundisha kwa vitendo.

Kwa sasa hatuna gym ya karate lakini ni wazo zuri sana hilo umetukumbusha. Kama unapendelea kujifundisha Karate, zipo gym nyingi sana, unaweza kubofya link hii utaziona: Fitness centers & gyms Mzenga, Pwani Region - Page 4
 
Aisee .na kuhusu biashara mitaji boss??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hapa Abraar tunaamini mtaji wa kwanza wa biashara ni wewe mwenyewe ufanyae hiyo biashara.

Kama una biashara yoyote ya halali na unahitaji kuiendeleza tunaweza kukuunganisha na wengine mkashirikiana. Au kama hujaianza biashara na una wazo linalotekelezeka vile vile tutalitafutia njia lifanyike. Muhimu ni nia njema.

Biashara yoyote itayopitia kwetu itakuwa na "close monitoring na reporting procedures" mpaka itapoweza kujisimamia yenyewe.

Karibu sana.
 
Isije kuwa njia ya kuwaunganisha na Is, Boko haram na Alishabab make nyie bana hamtabiliki
 
Wewe mbona umeenda shule na hujaelimika ?

Nani amekwambia ukisoma secular unaelimika ?

Kuelimika ni nini hasa ?

Watu wameelimika tangu zama ambazo "sucular" ilikuwa si yenye kutajika.
Usibishane nao. Wanajaribu kuharibu hii mada.

Hawaamini wanachokisoma humu.

Sasa wazee wa Madrassa. tumekuja na ubunifu mpya kabisa. Suluhishi la gharama nafuu kabisa na lenye ubora wa hali ya juu kwa usafi wa jiji letu pendwa la Dar na majiji na miji yote ya Tanzania wanaojali usafi na mazingira.

Tumekuja na suluhisho la viosk vya boiashara vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu. Vinaweka maingira safi na salama.

Pia tuna mapipa ya taka safi, salama, yasiyoweza kuibuwa, unaweza hata ukachoma taka zako hapo hapo kwnye pipa bila kuleta madhara.

Tutayatangaza hivi karibuni na ukipenda maelezo zaidi tutafute whatsapp au telegram 0625249605.

Suluhisho pekee la usafi na mazingira la kudumu pia la kupendezesha iji/mji
 
Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasa
 
Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasa
Madhara ya nini? Na taka zinachomwa ndani ya "fortified concrete blocks?

Subiri nifungue uzi wake, japo zipo earely stages ya construction lakini zitakupa mwangaza wa ubunifu wetu. AlhamduliLllah.

Kweli kabisa, mimi AlhamduliLllah mzee wa Madrassa na nipo vyema sana na ni furaha na sifa kubwa sana kwangu kuwa ni mzee wa Madrassa.

Karibu Madrassatul Abraar ujionee mengi ya ubunifu wa ujenzi ambayo hujawahi kuyaona popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…