Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Na wewe ni idiotWasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
msijali..tumemhifadhi mahali salama
Sawa bashitemsijali..tumemhifadhi mahali salama
Niliwahi sikia kuwa mafuta yaliyopo kwenye kitambi yakipanda kwenye ubongo basi unakuwa mtu wa kusahau sahauKashaumbuliwa kuhusu comment za hapo nyuma twitter imemuumbuaView attachment 492547
You're idiot associate of chama mfu chademaNa wewe ni idiot
Yaan unawapangia wasanii cha kuimba....hivi hakuna wasanii ambao waliimba kuhusu ufisadi? endelea kusikiliza taarabu na mashosti wenzio
LikewiseYou're idiot associate of chama mfu chadema
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] li zee limetoa jibuBashite ndo muhusika mkuu,ukitaka kucheza dili usicheze na hili lizee lisilo na rinda
Asilimia zaidi ya 50 ya wanaume wa Tz wamesingiziwa watoto.Mbona watoto wa mzee Marcela wapo vizuri sana.Huyu alimtoa wapi?
Mpaka sasa nimeamini Bashite anahusika kwenye hili jambo.
Yaani anajichanganya hasa hata huyo babu tale nae ahojiwe vizuri nadhani watengeneze picha zingine
Bashite ameanzisha style mpya ya uvamizi.Tuseme noooooTanzania tunaishi vizuri ila hawa TISS_RAPA wanataka kuvuruga nchi,Watambue wananchi wakichoka wataanza kuwachinja hao TISS_RAPA M1 baada ya m1.