Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Upewe maua Yako. Ukiwa na IQ kubwa kwanza ukiona TU aina ya majibizano unaona yafaa kutulia maana hata ukielekeza bado hutaeleweka na mwenye 0 IQ
 
Upewe maua Yako. Ukiwa na IQ kubwa kwanza ukiona TU aina ya majibizano unaona yafaa kutulia maana hata ukielekeza bado hutaeleweka na mwenye 0 IQ
Watu wenye IQ ndogo huwa wagumu mno kuelewa mada mbalimbali. Na hii kutokuelewa ndio huwa Fanya wajibu majibu ambayo sio kabisa.
 
Aise, pia watu wengine una interact nao humu wanakuvuruga bure, hawana hata direction ya maisha. Unajaribu kuleta mada zenye umuhimu kwako na wadau wenye IQ kubwa lakini unakutana na watatu wanne wanaojaza tu "shit posting."(JARIBU KUANGALIA REPLIES ZA WATU FULANI HAPO JUU WALIVYOKUWA WAKIJIFARIJI NA KUSUPPORT UJINGA) yaani Ni kama kujaribu kumwaga maji kwenye gunia la makengeza.

Mdau mwenye busara haangaiki na vichwa visivyo na maarifa, maana anajua upepo hauwezi kuelekeza meli isiyo na dira.
SURE MKUU
 
Back
Top Bottom