Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Social Media: Usijikute Unabishana na Mtu Mwenye Low IQ Bila Kujua!

Mie ntu wa aibu sana, hata cjui nikwaambie nn🤗😋

Sema napenda mishangazi matajir 🤘 una yatch kama hiyo ya Lishangazi kwenye mupicha? Btw siyo la dot com lakini, yule simuezi mie napiga nne yy anataka moja ya kulala mie Aku kabisa.
leo3-jpg.3240995

😛
Mshangazi dot com ona huyu anakutukana😂😂😂😹😹
 
😅😅😅 mie nilidhani tunayenda kuyajenga, ss umeenda kunisemea kwa dot com, dizaini zake mapaja yake yanaeza kunikaba nikashindwa kupumua bure🙌

min -me ngoja niongeze IQ tu, kha naona ishashindikana huku I'm very innocent😇😇😇 you know
Me I don't know 😹
 
Ashasema haniwezi, ila naona bado ananichokonoa.
Hawa ndiyo wale wababaifu niliyokuambia, kataa kabisa 🚮🚮🚮
Mapenzi hayana macho anti.😍. Haya sikuchokonoi tena. Can I still luv u dooo? Sina baya wala hila ww.😚
 
Wengine wanaweza kua na high IQ kuzidi wewe..

Ndio maana ukaona hawaeleweki wanakutibua tu.

So ukiona mtu umeshindwa kumuelewa usikimbilie kumpunguza akili,

chungulia kwenye fuvu lako kwanza zimo?
 
😅😅😅 mie nilidhani tunayenda kuyajenga, ss umeenda kunisemea kwa dot com, dizaini zake mapaja yake yanaeza kunikaba nikashindwa kupumua bure🙌

min -me ngoja niongeze IQ tu, kha naona ishashindikana huku I'm very innocent😇😇😇 you know
Chapa toto hiyo mkuu😂
 
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.

Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.

Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Muda mwingine unaweza kubishana na mtu hapa JF na mnatoleana matusi ya nguoni halafu kumbe ni baba mkwe wako. Sosho midia hapana 😄😄
 
Back
Top Bottom