Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Hehehe!!!unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe!!!unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu!
Mshangazi dot com ona huyu anakutukana😂😂😂😹😹Mie ntu wa aibu sana, hata cjui nikwaambie nn🤗😋
Sema napenda mishangazi matajir 🤘 una yatch kama hiyo ya Lishangazi kwenye mupicha? Btw siyo la dot com lakini, yule simuezi mie napiga nne yy anataka moja ya kulala mie Aku kabisa.![]()
😛
Ashasema haniwezi, ila naona bado ananichokonoa.Mshangazi dot com ona huyu anakutukana😂😂😂😹😹
😅😅😅 mie nilidhani tunayenda kuyajenga, ss umeenda kunisemea kwa dot com, dizaini zake mapaja yake yanaeza kunikaba nikashindwa kupumua bure🙌Mshangazi dot com ona huyu anakutukana😂😂😂😹😹
Wapenda mapaja Hawa,🤣Ashasema haniwezi, ila naona bado ananichokonoa.
Hawa ndiyo wale wababaifu niliyokuambia, kataa kabisa 🚮🚮🚮
Me I don't know 😹😅😅😅 mie nilidhani tunayenda kuyajenga, ss umeenda kunisemea kwa dot com, dizaini zake mapaja yake yanaeza kunikaba nikashindwa kupumua bure🙌
min -me ngoja niongeze IQ tu, kha naona ishashindikana huku I'm very innocent😇😇😇 you know
Mapenzi hayana macho anti.😍. Haya sikuchokonoi tena. Can I still luv u dooo? Sina baya wala hila ww.😚Ashasema haniwezi, ila naona bado ananichokonoa.
Hawa ndiyo wale wababaifu niliyokuambia, kataa kabisa 🚮🚮🚮
Masharti kibao na hela hawana wanataka mashangazi tuwalee 😂🚮Wapenda mapaja Hawa,🤣
Ukitaka mshangazi nikupende punguza mdomo kuwa mpole 🙄Mapenzi hayana macho anti.😍. Haya sikuchokonoi tena. Can I still luv u dooo? Sina baya wala hila ww.😚
Haya mdada. Bac hata salam tuwe tuna patiana🫠Me I don't know 😹
Chapa toto hiyo mkuu😂😅😅😅 mie nilidhani tunayenda kuyajenga, ss umeenda kunisemea kwa dot com, dizaini zake mapaja yake yanaeza kunikaba nikashindwa kupumua bure🙌
min -me ngoja niongeze IQ tu, kha naona ishashindikana huku I'm very innocent😇😇😇 you know
Sawa bac😅. Naenda kusomea IQ, nikishazipata nafikiri naturally na mdomo utapungua, ila mm mpole kama mpole, yani ukiona definition ya mpole kwa dikshonari picha angu imo pembeni😁Ukitaka mshangazi nikupende punguza mdomo kuwa mpole 🙄
Kuwa na amani kaka😊Haya mdada. Bac hata salam tuwe tuna patiana🫠
Kila mwanaume ale jasho lake🤣Masharti kibao na hela hawana wanataka mashangazi tuwalee 😂🚮
Unaona nachangiwa twosome hapa.😂😂😂😂Chapa toto hiyo mkuu😂
Muda mwingine unaweza kubishana na mtu hapa JF na mnatoleana matusi ya nguoni halafu kumbe ni baba mkwe wako. Sosho midia hapana 😄😄Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.
Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.
Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Asante Mallerina, nimekupata🙏🫠Kuwa na amani kaka😊
Very saaaadSad aisee